Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
76
56
Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla.

Tatizo hili kwa sasa limeshapitwa na wakati. Sasa nimekuletea mfumo wa ku search au kutafuta mkoa wako na shule zote kwanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, kwenye mkoa wako zitaonekana.

Unaweza ukatafuta jina la shule unayoijua na ukajua kama ni shule ya private au goverment, mfumo utakuonesha kama shule ni ya wasichana na wavulana. Au kama ni ya wavulana tu au wasichana tu.

Pia, kikubwa zaidi mfumo utakuonesha kama shule ni ya private au ya goverment na ufaulu wake kwa ujumla. ikiwemo nafasi iliyopo kitaifa na kimkoa kwa shule za advance na za o level.

Lakini kutokana na kuwa shule za o level secondary zilikuwa na gpa tu basi kwa matokeo ya mwaka 2022 utaona yenye gpa ya A ikiwa inaanza pale utakapo search mkoa wako.

Kikubwa kama iziraa.com nitaweka matokeo yote kwa mfumo huo kwanzia ya mwa 2015 shule za Advance, o level na za primary ili ujue shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Au shule yenye ushindani na ambayo itamfaa mwanao. mkoa wowote unao taka. Nitaweka linki hapo chini ili mkajionee wenyewe.

Asanteni kwa maoni mtaweka hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=AaIsy9S63bk

View: https://www.youtube.com/watch?v=MlLBPekiMM4&t
 
SEarch mkoa zitatokea shule ya kwanza mpaka ya mwisho kwenye mkoa wako
upo vizuri mkuu Ila Kwa advance ingependeza ukaweka na comb zinazofundishwa kwenye shule kama inawezekana
 
Yaani huu Uzi tangu 10/04/2023 Hadi Leo 20/04/2023 uha comments 9 tu??? Ingekuwa mambo ya connection ungekuta comments 1000+ kwa kweli tumelogwa. Mkuu hongera
 
Back
Top Bottom