Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito.

Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi wamevuka 18+
 
Bora hata huko wanalo bumu kuna huku vyuo vya kati hawana bumu hawana Mkopo kila kitu kinatoka mfukoni mwao yaani nivurugu,,,, saa kwann wasichana wasichane sketi zao
Ni kweli unacho sema mkuu, halafu kitu chengine kinacho changia mazingira ya vyuoni yamekaa kingono ngono sana sio wanaume sio wanawake hasa kwenye vyuo ambavyo kuna kozi nyepesi.
 
Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito.

Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi wamevuka 18+
Hayo ni maneno ya mtaani tu mzee huko vyuon hakuna wanaojiuza. Au ww umesoma chuo gan labda ??

Na pia labda nikuongezee, saiz wanaojiuza wengi wanajinasibisha kwamba wao ni wanachuo, ndo mqana unaskia wanachuo wanajiuza ila sio ukweli.
 
Unatetea. Ushahidi upo hizo connection za wakina nani?
 
Back
Top Bottom