tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye tatizo la Afya ya Akili alivyotaka kumnyonga mwanae kwa kusikia sauti

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  4. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

    Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

    Wakuu hili tatizo linatokana Na nini? Msaada please
  8. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio CCM bali jamii nzima ya mtu mweusi

    Historia ni nini? - Historia ni somo lihusulo mambo/matukio yaliyopita[ kale ], yaliyopo na yajayo. Kabla hatujawatupia mizigo yote ya lawama Chama cha Mapinduzi [CCM] kwa huu umasikini wa taifa hili, tuji ulize maswali haya kwanza. Maswali 1. Kwanini mtu mweusi duniani kote ana dharaulika...
  9. Patra31

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

    Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
  10. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga

    Wakuu, baada ya mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho sasa ni dhahiri kuwa timu ya Yanga wana tatizo la mipira ya kutenga. Kumekuwa na matukio mfululizo ya kufungwa mabao yanayotokana na mipira hiyo. Hata mechi ya jana dhidi ya Prisons mapungufu hayo yameonekana. Kocha Prof Nabi ana kazi kubwa ya...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ndio kiumbe kinachoongoza kwa kusakamwa humu jamvini, tatizo ni nini?

    Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake. Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake. Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
  12. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni Uongozi na Siasa

    Hatimaye yametimia Rais Samia amekiri kuwa kuna tatizo kubwa la viongozi. Wananchi tuliowengi tulilisemea hili lakini watawala wakatupuuza. Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema ili nchi yeyote iendelee lazima iwe na; 1. Watu 2. Ardhi 3. Siasa safi 4. Uongozi Bora Tanzania ina watu mil. 60...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa darasa la saba ndo wanaonekana wako na akili kuzidi hawa wenye degree, nini tatizo?

    Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa) Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda. Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mavunde afanikisha huduma ya Bure ya wenye matatizo ya macho. Kijana aliyeacha masomo kwa tatizo la kutoona apona, aahidi kumsomesha

    MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  17. Mr. Purpose

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    ZINGATIA: Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
  18. Gmox

    JamiiForums Tanzania Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

    Wasalaam , Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao. Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Airtel Money leo?

    Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
  20. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
Back
Top Bottom