tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

    Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania. Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Overproduction; Where do we Go From Here..... (A Chinese Case Study)

    Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo linasababisha uchumi wa wakati huo kushuka na matatizo ya ajira... Kinadharia Over Production inasababisha...
  5. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina tatizo la ajira, ina tatizo la vipaumbele vya tuliowapa dhamana ya uongozi

    Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana. 1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama haukubaliani na Warioba kwenye hili jiangalie wewe ndiyo tatizo!

    https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb Wakati maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025 yakiendelea, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema makundi mawili yanayosigana juu ya uhuru na haki yanapaswa kukutana na kukubaliana kwanza kabla ya kuingia kwenye...
  9. Tankile

    JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
  11. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Serikali isilifumbie macho suala hili la Watanznia kuwa na Wagumba wengi

    Habari,
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
  13. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC. Ninadhani tumeelewana vyema tu.
  17. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

    Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha. Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk. Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
  19. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
  20. Melvine

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
Back
Top Bottom