Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

Gochavez

Senior Member
Apr 30, 2013
163
133
Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara?

Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu?

Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo

Anza sasa kutumia Mkeka Tiba yaani Reflexology Mat umethibitishwa kuwa mkombozi wa afya na ustawi wa wengi. Mkeka Tiba ni njia ya uponyaji inayotumia mbinu ya kugusa maeneo maalum ya miguu na kuchochea mfumo wako wa neva.

Kwa kutumia mkeka tiba wa reflexology mat unaweza kuondoa maumivu ya mwili, kuimarisha mzunguko wa damu, na kuboresha ustawi wa mwili wako.

▪️Utakusaidia kuondoa maumivu ya mgongo, shingo, na miguu.

▪️Utakuwezesha kupunguza hisia za miguu kuwaka moto na maumivu.

▪️Utakusaidia kunyoosha na kuweka uti wa mgongo wako katika hali nzuri.

▪️Utaweza kuongeza nguvu ya misuli ya miguu, kupunguza hatari ya maumivu na ganzi.

▪️Pia utakusaidia kuzuia kujitokeza kwa maumivu ya mgongo, ganzi kwenye miguu.

▪️ Pia utakupa kuimarisha afya ya ubongo katika kuongeza mzunguko wa damu kwenye ubongo.

▪️ Utakusaidia kunyoosha na kuweka uti wa mgongo wako katika hali nzuri na kuzuia maumivu na matatizo ya mgongo.

Fikiria kufurahia maisha bila kuwa na ganzi au miguu kuwaka moto.

Fikiria namna utakavyoweza kujitibu mwenyewe na kupunguza haja ya kutumia fedha kwa matibabu ya mara kwa mara.

Thamani ya mkeka tiba huu ni sh 131,000 ila leo utaipata kwa sh 89,000 tu.

Tunapatikana Dar es salaam, Tabata Segerea.

Wasiliana nasi kwa namba ya simu:
0748 463 797.
 

Attachments

  • images (16).jpeg
    images (16).jpeg
    37.9 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom