Wakuu tatizo langu la meno liko complicated nataka ushauri wenu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,300
Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.

Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.

Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?
 
...Lainisha kidogo Lugha...sema NAOMBA Ushauri, Sio NATAKA Ushauri ! Anyway, Pole...
 
Sio lazima ushauri. Kama huna la kushauri KAA KIMYA.
Meno kwa watu wengi ninaojua huwa yanapona kwa kujaribu dawa tofauti za asili bila kuchoka, muhimu ziwe salama. Sababu hujui tatizo ni nini so dawa ya asili inaweza kuwa inatibu ila sio kwa chanzo kama chako, ukaitumia ukakosa matokeo ukasema haifanyi kazi. Au ukawa recommend na mtu aliyepona nayo kumbe tatizo lake sio lako.

Kwa wazungu meno ya nyuma kabisa kinywani huwa wanayapunguza kwanza hayana kazi. Labda kwanza ungeona dentist wa kawaida ila ana skills alimsaidia sister yuko Dar hii. At least ujue possibly maumivu yanasababishwa na nini, then uamue utumie njia ya kisasa au ya asili.
Ukitaka namba njoo PM
 
Asante sana. Nitakucheki mkuu kwasababu nataka kung'oa iwe option ya mwisho kabisa.
 
Back
Top Bottom