RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,730
11,085
Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita.

Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili tatizo la umeme hulioni au kwakuwa Tabora hakuna viwanda?
 
Wewe mgeni nchi hii, huyo Batilda ni tanesco au waziri wa nishati? Acha watu wauze majenereta yaishe.
 
Nilikuwa na mishe hapo igunga kwa kweli unaweza sema sio sehemu ya Tanzania.

Umeme kwa siku umekaa muda mrefu ni masaa6 tu kwa siku. Ukijumlisha na joto la hapo maisha yake shida tupu.
 
Afanyeje ikiwa Dar es Salaam yenyewe tabu ni hiyo hiyo.
Tatizo TANESCO wana visingizio kibao kwa kuwa hawajui hata wajibu wao na hili na la Wizara na Rais mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom