taratibu

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

    Ndugu wasomaji wa JF, Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu zinazoeleweka ila niseme tu ni uwekezaji unaohitajika kufanyikia mlimani. Swali langu, taratibu za kununua na...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mitihani shule za madhehebu ya Dini wajikumbushe taratibu za madhehebu husika

    Nafikiri kuwepo na mafundisho rasmi yanayoelekeza wasimamizi wanaosimamia mitihani shule za madhehebu ya dini kujua mipaka yao ili wasiingilie zile taratibu za kawaida zilizokubaliwa na serikali. Hivi inakuwaje msimamizi mwanamme; ana anza kuwavua Watoto wakike vitambaa na mara nyingine wakiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za kupokea mzigo kutoka UK kupitia Kenya ni zipi?

    Siyo utani ni shida ya kweli... Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya Watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID. Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo...
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  10. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
  11. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tukiondoa urasimu katika utoaji wa huduma za umma tutapata utawala bora

    DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na kuendesha nchi na kuchukua wanavyovitaka kwa kipindi hicho. Urasimu umedumu toka kipindi hicho na...
  12. RAMAKISIMA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika huduma ofisi za ardhi

    Ardhi ni rasilimali hitajika katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa. Mahitaji ya ardhi yakuwa kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na shughuli za kiuchumi. Serikali ya Tanzania Kwa kujua umuhimu wa ardhi imeweka wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwaajili ya kuratibu...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala, Shahidi walivyochuana taratibu za kumtambua mtuhumiwa

    Dar es Salaam. Kesi ya mauaji inayomkabili mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara na tajiri wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya imeendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, huku wakili wa utetezi na shahidi wakikabana koo kuhusu gwaride la utambuzi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

    Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee. Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
  15. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

    Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents. Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu. Kazi tunayo!!
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa taratibu naanza kuwaona Watanzania wakiwa na Akili

    Wameanza kumgomea Mwarabu, wanautilia Shaka Muunganiko Wetu na akina Feitoto, Wameshaanza Kumchoka aliyekuwa akiupiga mwingi na hawako mbali Kukichukia Chama Cha Mambuzi na Kukikaribisha kingine kipya. Hongereni.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Naomba nijuzwe taratibu za kufuga Chui au Simba

    Wana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG. Keeping a lion, leopard or jaguar, is my new dream. The idea of having neighbours lamenting...
Back
Top Bottom