Naomba nijuzwe taratibu za kufuga Chui au Simba

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,486
Wana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG.

Keeping a lion, leopard or jaguar, is my new dream. The idea of having neighbours lamenting, this very Don, Mixologist is keeping a wild animal is very fulfilling.

For sure, wakora na wadokozi who are used to deal with dogs they must up their game. Trespassing my property will be a deadly and costly mission impossible

Hakika, trespassers will be eaten.

I need info,
 
Gharama zake utaziweza?

Isije ikawa umepata wazo la kufuga mnyama kama Tiger kwasababu umeamia jirani na machinjio.

Umepiga hesabu zako umeona utumbo na ashua utakuwa unavipata kirahisi ukaamua uzitafutie fursa.

Anyway

Kumfuga mnyama aina ya chui kama pet gharama zake sio za kitoto hata kidogo.

Mike Tyson alifuga Tiger, kila siku alikuwa anatumia $1,500 na pale ambapo Tiger kaenda kwa majirani alikuwa analipa $100,000 kama fidia.

So in case unafuga Tiger basi utahitajika kuwa na nyumba yenye eneo kubwa kuliko Mike Tyson.

Pamoja na hayo ukumbuke nyakati za misosi unatakiwa uwe on time kama kengele ya church. Ukichelewa tu basi siku hiyo utatakiwa kumpa chakula ukiwa unakidondosha kutoka juu ya chopper.
 
ushauri mzuri, ila mission yangu ikiwa accomplished issue ya wakora na vidokozi will be historical, things of the past.

Kibao cha taadhari getini hakitakuwa tena beware of dogs, but trespassers will be eaten
 
Pindi utapo kufa mbele za haki nani atasimamia hao wanyama., wewe una roho ya kinyama unaonekana live live.
 
Wana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG.

Keeping a lion, leopard or jaguar, is my new dream. The idea of having neighbours lamenting, this very Don, Mixologist is keeping a wild animal is very fulfilling.

For sure, wakora na wadokozi who are used to deal with dogs they must up their game. Trespassing my property will be a deadly and costly mission impossible

Trespassers will definitely be eaten

I need info,
Fuga kwanza kiumbe hatari kuliko shetani anayeitwa mke, ukimmudu, ndio fuga chui na Simba
 
Mke ni hatari zaidi. Pamoja na kuumba wanyama hatari wa mwituni kama simba, chui, jaguar, chatu na hayawani wengine, Mungu hakutuhasa tuishi nao kwa akili, bali mwanamke
Na ukitaka kujua kwamba mwanamke ni kiumbe hàatari, Mwenyezi Mungu hakutaka kumuumba, sema tu ilimbidi tu, sababu ya upweke wa Adam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom