Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,555
Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
 
Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
Kama raia wa Zanzibar ni raia wa Tanzania bara, kwanini wewe raia wa Tanzania bara usiwe raia wa Zanzibar?
 
Zanzibar Wana sheria zao tofauti na bara,wazanziba ruhusa kumiliko ardh bara ila wabara si ruhusa mpk Kwa kibali maalum
Kuna sheria maalum za wao kumiliki ardhi Tanzania bara bila ya kuwa raia?
 
Kila mtu aishi kwao inabidi siku moja tuwakate mapanga kwanza nilikuwa nauteteaga muungano ila now ni mzigo gawio la mapato 50% kwa Sasa ila wakianza chimba mafuta watataka kila mtu ajitegemee wanasamehewa Kodi kila kukicha na madeni ya umeme yani huu muungano hata kesho uvunjwe kwanza wale wa Zanzibar waliokuwa wanataka kuvunja muungano wamefikia wap kwenye kesi yao
 
Back
Top Bottom