taratibu

  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Vijana waleta fuji kutaka aliyetengwa na kanisa azikwe kwa taratibu rasmi za kanisa

    Ujumbe uko kwenye video hapa chini kwa vijana wa Arusha
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  4. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Maadili, Taratibu na Mamlaka Zinazosimamia Maadili ya Mawakili Binafsi, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu. 1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI Sheria...
  5. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

    Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani hapa Kabla ya kukutana na mke wangu nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi....lkn mahusiano...
  6. Willima

    JamiiForums Tanzania Athari za uandishi wa habari ndani ya taratibu za kimamlaka

    Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
  7. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

    ...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  9. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

    Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha chama cha siasa?

    1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Taratibu woga umeanza kuwaondoka wananchi

    Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama. Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi. Kutaka kujua kinachoendelea nikajifunza kwamba ile gari ya abiria ilikamatwa kwa kosa la kupakia abiria kwenye...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
  14. Heci

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane taratibu

    Kwa wana JF wenzangu Najua tuna pata wanachama wapya hapa JF kila siku hivyo nimeona nikumbushe mambo machache hapa 1. Hoja inayolenga kuchafua Biashara/ Brand Naomba tena niwaombe sana: isiwe kila mtu akiona kasoro flani hata hana hakika kuwa imetoka moja kwa moja kwa mzalishaji anakuja hapa...
  16. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI UKIUKAJI: Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo. Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Polisi force Tz: Fahamu taratibu za mazishi kwa askari . Askari aliyejiua hazikwi kijeshi

    Tuelewane!!! #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/pYpOG00jIv
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Habari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
  20. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
Back
Top Bottom