Uchaguzi 2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP).

Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala hakuna Uhuru wa kuongea iwe ni ndani au nje ya Bunge. Poor opposition parties, they can't breath!
2431549_09886.jpg
 
knee-on-neck.jpeg

Please get your knees off our necks, we can't breathe!

 
Back
Top Bottom