Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

bora aondoke, mwishoni aligeuka mfitini, mwenye jeuri na kiburi dhidi ya nchi yetu. Aligeuka mtu wa majungu mwenye kutoa matamko daily kuwa tuna korona kibao dar, halafu wakati huohuo akidai viongozi wetu hawajatoa takwimu kwa miezi kibao. sasa alijuaje tuna korona kibao bila data?

Mbona huko kwao USA siku hizi zile daily briefings juu ya hali ya korona zimeisha na hawajafanya zaidi ya wiki mbili sasa?
 
Tulisema hana muda huyo chezea JPM, hata kabla ya uchaguzi. Bado wa UK anawashiwa moto London hatachukua round. Tutaona chacha Ka-zito chijui katakuwa kanakimbilia wapi haka kakuwadi. Milango yote itafungwa na chuma cha pua. Walishindwa kina Henry Kissinger itakuwa hawa vibaka.
 
Back
Top Bottom