Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,072
Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi supported ukiitumia huku.
Natanguliza shukran!