Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU
Kwanza ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati sana kwa Mh. Waziri wa maliasili na utalii ndugu yangu na kaka yangu Hamisi Kigwangala kwa kuandaa HKKilichallenge iliyokuwa na lengo la kuhamasisha utalii wa ndani.
BACK TO THE TOPIC:
Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kufanya ushawishi (lobbying) ili tuitangaze vema nchi yetu kupitia social media platforms. Celebrities wa Tanzania wanaweza kuwashawishi wasanii wa kigeni wanaoshirikiana nao katika kazi za sanaa kuja kupanda mlima Kilimanjaro pamoja na kitembelea mbuga ya Serengeti.
Ukijaribu kutazama picha hapo chini, ni baadhi ya Celebrities wa Tanzanian wakiwa na wenzao wenye umaarufu mkubwa zaidi hapa duniani.
AY AKIWA NA LIL' ROMEO
DIAMOND AKIWA NA RICK ROSS
DIAMOND AKIWA NA OMARIO
A.Y AKIWA NA SEAN KINGSTON
Ninaomba msininukuu vibaya. Sijasema hao "World Class Celebrities" waitanagaze vema nchi yetu BURE. Hapana. Tunaweza tukapata discount nzuri sana tu ya kutangaza vivutio vyetu kama wasanii wetu watafundishwa namna ya kuongea nao kwa lugha njema na ya kistaarabu (lobbying) kwa maana kuna msemo wa Kiswahili unasema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Kwa mfano Serikali nchini Norway imeanzisha utaratibu wa kununua nakala kadhaa za waandishi wa vitabu ambao kazi zao zimehakikiwa na mamlaka husika ya kiserikali. Soma link hapo chini;
Vp kama idea hii tukiihamishia upande wa kazi za sanaa na kusema serikali kupitia wizara husika (wizara ya sanaa ama ya utalii) itanunua nakala kadhaa za msanii wa ndani pamoja na yule wa nje ambao wote kwa pamoja wataenda kupanda mlima Kilimanjaro au kitembelea mbuga ya Serengeti?
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU
Wizara ya Sanaa na Michezo inaweza kuwashawishi celebrities kutumia tarehe 28 ya kila mwezi kutangaza vivutio vya nchi kupitia social media platforms
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Wizara ya Sanaa na Michezo inaweza kuwashawishi kwa ustaarabu celebrities wetu kutumia tarehe 28 ya kila mwezi kutangaza vivutio vya nchi kupitia social...
www.jamiiforums.com
Kwanza ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati sana kwa Mh. Waziri wa maliasili na utalii ndugu yangu na kaka yangu Hamisi Kigwangala kwa kuandaa HKKilichallenge iliyokuwa na lengo la kuhamasisha utalii wa ndani.
BACK TO THE TOPIC:
Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kufanya ushawishi (lobbying) ili tuitangaze vema nchi yetu kupitia social media platforms. Celebrities wa Tanzania wanaweza kuwashawishi wasanii wa kigeni wanaoshirikiana nao katika kazi za sanaa kuja kupanda mlima Kilimanjaro pamoja na kitembelea mbuga ya Serengeti.
Ukijaribu kutazama picha hapo chini, ni baadhi ya Celebrities wa Tanzanian wakiwa na wenzao wenye umaarufu mkubwa zaidi hapa duniani.
AY AKIWA NA LIL' ROMEO
DIAMOND AKIWA NA RICK ROSS
DIAMOND AKIWA NA OMARIO
A.Y AKIWA NA SEAN KINGSTON
Ninaomba msininukuu vibaya. Sijasema hao "World Class Celebrities" waitanagaze vema nchi yetu BURE. Hapana. Tunaweza tukapata discount nzuri sana tu ya kutangaza vivutio vyetu kama wasanii wetu watafundishwa namna ya kuongea nao kwa lugha njema na ya kistaarabu (lobbying) kwa maana kuna msemo wa Kiswahili unasema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Kwa mfano Serikali nchini Norway imeanzisha utaratibu wa kununua nakala kadhaa za waandishi wa vitabu ambao kazi zao zimehakikiwa na mamlaka husika ya kiserikali. Soma link hapo chini;
100 Best Books of All Time
If you want to fill your shelves with the best books of all time, you're in the right place.
www.rd.com