Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Please Serikali iwasaidie ndugu zetu zaidi ya 400 waliokwama India wanataka kuja nyumbani.
Ubalozi wa India utoe ushirikiano wa kutosa watu mpaka wanalia hali ngumu walipo wanaogopa kwamba hawapo salama.
Wapo wanafunzi, wagonjwa walioenda kutibiwa, wafanyabiasha. Please Air Tanzania...
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank...
Tanzania is one of the country in Africa which never responded quickly to the deadly COVID-19 which broke out from Wuhan city in China. President John Pombe Magufuli allowed activities to continue running normally and now the disease is treating the citizens from Tanzania otherwise.
The...
Wahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo.
Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere.
TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia...
Gavana wa Kajiado Joseph Lenku amefunga kabisa uuzaji wa Ng’o,mbe katika kaunti hiyo kutoka Tanzania kutokana na visa vya maambukizi mengi zaidi yanayoripotiwa nchini humo.
Lenku ametoa amri hiyo baada ya kufanya ziara eneo la Loitoktok ambapo alikuwa anasambaza barakoa kwa wenyeji .
“No...
Position: Regional Proposal Recruiter
Position Description
The University of Maryland, Baltimore (UMB), Maryland Global Initiatives Corporation (MGIC) is currently seeking a Regional Proposal Recruiter. The Regional Proposal Recruiter is a critical role within our business development team and...
If the Kenyan government failed to repay the debts of $ 3.21 billion to China taken up for an ongoing major railway project, China would possibly take the port of Mombasa as an alternative.
SGR (Standard Gauge Railway) a 472-kilometer line from Mombasa Nairobi, where work started in 2013, and...
1. Kumbe nae ni Mkeshaji na Mtumiaji mzuri tu wa Mitandaoni kama Sisi wengine na pengine katuzidi
2. Maamuzi yake mengi anayatoa kuwakomoa wana Mitandao ( JamiiForums ) ikiwemo na Twitter
3. Ni mwepesi sana Kudanganywa / Kudanganyika na Wasaidizi / Washauri wake hasa pale akiwa na Jazba.
4. Ni...
Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
Habari. Chukua hatua, jikinge na maambukizi.
Baadhi ya Maswali Magumu:
1. Mitihani ya kitaifa itafanyika lini?
2. Wa kujiunga na kidato cha tano wajiunge lini?
3. Wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu itakuwaje?
ongezea hapo maswali mengineyo.
Ufumbuzi:
1. Computerized educational...
Ni kwa masikitiko makubwa ninaandika uzi huu. Ninaandika baada ya kuwa nimechukua muda wa kutosha kufuatilia yanayojiri katika nchi zinazotuzunguka kulingana na hali yetu halisi hapa kama ilivyo sasa.
Hapa kwetu tayari imekuwa ni tanzia baada ya tanzia hata labda, ni muda muafaka sasa kwa mods...
Nakumbuka hata Rashid Kawawa alikuwa ni Secretary General wa Tanzania Federation of Labour wakati wa Ukoloni miaka ya mwisho mwisho kabla ya uhuru. Hata JK Nyerere alitumia platform ya Rashid Kawawa kwenye vyama vya wafanyakazi kuweza kuijenga TANU. Mkoloni alitambua haki za vyama vya...
Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi Mbunge Tundu Lissu, angepata matatizo muda huu tungempoteza.
Wangonjwa wa Pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akianguka...
Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku.
Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station...
Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti?
Je, tutegemee lolote kutoka...
Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.