Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.

Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!

Oneni wenyewe
IMG_20200504_163228.png
 
Back
Top Bottom