Kilio changu kwa DSTV Tanzania

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,525
17,434
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?

Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?

Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852

MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
 
Huu ujinga wanaoufanya hawa jamaa kwa kujiona wameshaliteka soko litakuja liwaponze muda si mrefu!

King'amuzi hakina channel za taarifa za habari za ndani kwa lugha ya kiswahili ukitoa TBC pekee!

Ni watanzania wangapi wanajua kiingereza hadi wakaangalie aljazeera or sky news?!

Kumpata mteja ni rahisi ila ukimpoteza kuja kumrudisha tena ndio shida!

Ni suala la muda tu waache waendelee kuzani hizo channel hazina impact kwao watakuja wastuke kumeshakucha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa maudhui. Wewe ni mgeni hapa bongo? Au ndio kwanza umefunga DStv?
DStv ni maji MAREFU kwa watu wachache. Ukitata upate hizo tiivii za Temeke sijui Mburahati funga TING au Startimes.
 
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?

Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?

Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852

MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
Tatizo ni TCRA na Sheria zake.
Wameiweka DStv Tanzania 🇹🇿 kwenye category ambayo sio FREE TO AIR.
Kwa mantiki hiyo FREE TO AIR ni tv kwa ajili ya walalahoi, ukinunua DStv basi wewe ni kabaila
 
Duh..we jamaa kama vile umelazismishwa banaa...kama ghali achana nayo kiroho safii..sisi wateja wao tunajua kwa nin hawana local chanel na tumelizika kiroho safii....dstv kama demu mkali ukiona anakutesa kummantain achana nae bro...! All the best kwa hayo malocal chanel mnayoyalilia wakati hayana hata mpya kila kitu kinapitia kwanza kwa mafisadi ndo kikufikiee.
 
DStv ni demu wa getikali kama unakaa Kigogo utamsikia kwenye redio. Kachukue saizi yako unaoweza kuwanunukia supu ya utumbo. DStv mpaka ujipange mwana.
 
Hadi leo mnaangalia local chanels. Nunua waya wako wa kuunga cm na TV, ukitaka kuangalia kitu unanunua GB zako kadhaa unajiunga then unatazama kipindi kikiisha unawarudishia katuni au unachomeka external kwenye tv watoto wajisomee kupitia TV.
 
DStv is not for everyone.
Compact tu unalalamika hivyo, ulilipia premium si utataka kuwashitaki kabisa.
Screenshot_20200430-075625.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200430-075625.jpeg
    Screenshot_20200430-075625.jpeg
    37.5 KB · Views: 2
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?

Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?

Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852

MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
Duh hamia Azam au startimes
 
Back
Top Bottom