mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 737
- 261
Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa.
Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani. Suala LA Barakoa ndo usiseme, ni maigizo haswa. Kanuni inasema usiguse uso, pua wala macho.
Sasa najiuliza Mimi mwenyewe Mara ngapi najifuta jasho kwa kutumia leso yangu. Inajulikana kwamba ukishika hela mkononi unaweza ukapata Corona, sasa najiuliza je kila Mara ukishika hela lazima unawe? Mara ngapi? Mbona ni issue kwa wafanyabiashara na wanunuzi.
Kwa nionavyo, sioni mantiki ya kuvaa barakoa au social distance, naona ni upuuzi mwingine wa hali ya juu hasa ukizingatia barakoa inapunguza kiwango cha Oksijeni na hatimaye kusababisha stress inayopunguza kinga ya mwili.
Nawasilisha