Eheee! Kama taarifa hi no ya kweliUzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna 1.5 t. Unaikumbuka hiyo?Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajikomba viti maalumu nawe unaitaka nafasi ila kuna madhila yake lazima upewe kazi ya kulima bustan uchume mboga na uwalishe viboga vitamu viongozi wote je upo tayari!
Mtoto wa dada na JIiwe ndio majizi makuu ya kodi zetu tena yasiyotaka hata kuhojiwa..Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila zama na suti zake bwashee!