Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Tz tunalindwa tu na mungu hamna lolote tunalo jua kuhusu korona watu hawajui kujikinga dhidi ya korona ila kibaya zaidi wana siasa wana wachanganya zaidi mara korona imeisha mara vipomo ni fake nkMisongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilicho shindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii?
Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
Ni rahisi sana kufyeka watz wote kwa kaugonjwa manake watu hawajali na wana ujinga mkubwa.Misongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilichoshindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii?
Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
Kama imepungua maana yake haijaisha, barakoa bado ni muhimu. Jilinde na ulinde wenzako.
Toa hio takataka corona
Sisi hatuna korona na tunadunda mtaani kama kawaida
Wewe utaalamu wa umeutolea wapi zaidi ya huu huu tunaotangaziwa wote?Tz tunalindwa tu na mungu hamna lolote tunalo jua kuhusu korona watu hawajui kujikinga dhidi ya korona ila kibaya zaidi wana siasa wana wachanganya zaidi mara korona imeisha mara vipomo ni fake nk
Sent using Jamii Forums mobile app