Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli

Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:-

1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida.

Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo.

2. Ugunduzi wa dawa lishe na nyungo umewasaidia wa Tanzania kupambana na Corona.

3. Ni ugonjwa unaopona na kwamba madaktari na manesi na ndugu wa waathirika wamepona kwa kupata ukaribu wa uangalizi baada ya kuondoa woga kwa ugonjwa.

Mkuu suala hili linaweza kuwa chanzo cha fedha za kigeni kwa nchi yetu kwa kuuza dawa lishe katika nchi zao.

Nakuomba mkuu Raisi wangu tutafute jinsi ya kuliweka suala hili kimataifa ili liwe na tija katika nchi yetu.

Assallaam alleikhum.
 
Back
Top Bottom