Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Tanzania ni moja ya nchi chache Duniani zenye vivutia vingi sana vya utalii.

Kwa Afrika ni nchi chache sana tunashindana nazo kwenye vivutio vya utalii.

Kwa mfano mbuga za wanyama maarufu Duniani ya Kwanza ni serengeti ikifuatiwa kwa karibu sana na Kruger National Park ya Afrika Kusini.

Afrika kusini inapata watalii zaidi ya milioni 15 na zaidi ya $9Billion kwa mwaka lakini Tanzania tunapata watalii chini ya milioni 2 kwa mwaka. Hata Zimbabwe wanatuzidi watalii wanapata zaidi ya 2.5 million kwa mwaka.

Katika Afrika mashariki hatuna nchi ya kupambana nayo kwenye vivutio vya utalii lakini cha ajabu tunapambana nao kwenye idadi ya Watalii. Mwaka pekee Tanzania iliizidi kenya idadi ya watalii ni mwaka 2018 ambapo tulipata watalii 1.5m huku Kenya wakipata 1.4m.

Ukiangalia kitu kinaitwa Travel and Tourism Competitive Index sisi tuko nyuma sana kwa nchi kama South Afrika, Morocco, Tunisia,Cote d'Ivoire, Zimbabwe nk. Shida iko wapi?

Najiuliza shida iko wapi? Mbuga zetu zina hotel za kimataifa, tuna viwanja vya ndege vya kimataifa, mbuga zetu ni accessible all year long, peace and harmony, no tribal wala ethnic groups, no political instability wala magenge ya watekaji na wahuni. Tunashindwa wapi?

Ukiangalia takwimu za serikali watalii wengi wanaomuja nchi hii hutoka Marekani, Kenya, Uk na nchi kadhaa ambazo ziko hardly hit na covid-19, je tutapona kweli mwaka huu?.

Hoja yangu ni je tunakwama wapi?

===

Dar es Salaam. The Ministry of Tourism and Natural Resources (MNRT) has released its recent statistics on tourists showing the number of tourists entering the country increased from 1.3 million in 2017 to 1.5 million in 2018.

Following the increase, tourist activities generated $2.4 billion, which is an increase of 7.2 percent from $2.3 billion earned in 2017. The top 15 source markets accounted for 71.8 percent of total visitors with the United States of America taking the lead accounting for 15.6 percent, followed by Kenya and the United Kingdom. The tourism sector recorded 25 percent of foreign currency and contributed 17 percent to the GDP.

The Ministry’s Permanent Secretary, Prof Adolf Mkenda told journalists in Dar es Salaam that in 2018, MNRT in collaboration with the Bank of Tanzania (BoT), Natural Bureau of Statistics (NBS) Immigration Department and The Zanzibar Commission for Tourism (ZCT) conducted an International Visitors ‘exit survey in order to get information for compilation of national accounts and balance of payments statistics; planning and policy formulation; and promotion of tourism.

“The survey covered eight major departure points namely Julius Nyerere International Airport, Kilimanjaro International Airport, Abeid Amani Karume International Airport, Namanga, Manyovu, Tunduma, Horororo and Mtukula border. Explaining, he said that globally international tourists increased by 6.1 percent to 1.4 billion in 2018 from 1.3 billion in 2017 adding
that the increase is driven by favorable economic environment and strong outbound demand from major markets.

Meanwhile the international tourist arrivals in Africa grew by 8.1 percent to 67 million from 62 million recorded in 2017.
In Tanzania the number of international arrivals increased by 13.5 percent to 1.5 million from 1.3 million in 2017. “The development islargely explained by the ongoing extensive promotional efforts coupled with beautiful tourist attractions in the country,” he said.

He noted that the survey revealed that tourists entering the country who spend a lot are from the age of 63 years and above who fall to a tune of 6.1 percent and therefore strategies are being put in place to attract more tourists of the same age gap because he said the need is not to have many tourists but to increase income.

According to him, the overall expenditure in Tanzania per person per night increased to $193.0 compared to 162.0 recorded in 2017 while the average expenditure per person per night for visitors who came under the package tour arrangement was $331.0 while that of non package visitors was $331.0.

Explaining he said tourism activities continue to be the center of tourism attraction for Tanzania due to the existence of the numerous National Parks and Game Reserves. However he noted that the country strategy was to utilize the geographical diversity including tourist’s forums by increasing tourists infrastructure meeting halls.

On her part National Bureau of Statistics Director Albina Chuwa said the statistics have been verified before their release showing that tourists increased in 2018 compared to 2017.

Source: Citizen
 
Tanzania haijawekeza vya kutosha katika sekta ya utalii. Kuwe na mkakati wa kufanya package holidays ambazo mtalii akilipa malipo yanajumlisha nauli ya ndege, usafiri wa ndani, hoteli pamoja na chakula. Mnaweza kuweka bei na options, anaetaka kwenda beach holiday, beach and safari au beach safari na Kilimanjaro climbing.
 
Wakiruhusu na SEX TOURISM watapiga dough hatari sana.
 
Mchawi hapo ni marketing. Entering partnership with Travel agencies zilizotanuka duniani na Airlines.

Formulating appropriate tourism package vilevile service delivery lazima iwe on top.

Sio mtalii unamwambia Utafika dsm utakaa siku 7 Mara ndege imechelewa, Hotel zetu nyingi pia Zina changamoto ya excellent services and maintanance.Mfano ukisoma Travel reviews za hotel Kama Landmark ya kule Mbezibeach wengi wanaoina ni chafu na Haina maintenance, high price with poor customer services.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Rwanda itatupita..utalii kama biashara nyingine ni kuweka sera za nchi zitakazovutia mazingira ya uwekezaji katika utalii na nchi kuwekeza katika matangazo ya biashara kwa media za ndani na nje ya nchi..

Yangu ni hayo tu.

Everyday is Saturday .......................... :cool:
 
Mchawi hapo ni marketing. Entering partnership with Travel agencies zilizotanuka duniani na Airlines.

Formulating appropriate tourism package vilevile service delivery lazima iwe on top.

Sio mtalii unamwambia Utafika dsm utakaa siku 7 Mara ndege imechelewa, Hotel zetu nyingi pia Zina changamoto ya excellent services and maintanance.Mfano ukisoma Travel reviews za hotel Kama Landmark ya kule Mbezibeach wengi wanaoina ni chafu na Haina maintenance, high price with poor customer services.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngurdoto wazungu waliisema vyumbani kuna mchwa,milango imeliwa mpk inataka kudondoka.
 
Tupo kwenye dunia ya digital, mkiweka mazingira sawa, tengenezend tourism website inayojitosheleleza kwa vivutio. Rusheni matangazo Ajazeera, Sky, BBC ect
 
Tatizo ni kufanya mambo kwa mazoea
Mtalii anataka apate mambo mengi sana na huduma ya hali ya juu kulingana na pesa yake
Hatujali watalii sana kama wenzetu wanavyowajali

Huduma zetu ni tofauti sana ukilinganisha na South Africa
Matangazo tuko nyuma sana na mawakala wetu sio wengi kama wao
Biashara ni ushindani tungeiga wanavyofanya wao badala ya kujifungia ndani na kufanya kazi kwa mazoea tu
 
Tatizo kubwa la Tanzania ni kutokujali muda. Mnapokea watalii saa nne, mnawaweka wasubiri wa ndege inayoingia saa nane wasafiri pamoja.
 
Tatizo ni kufanya mambo kwa mazoea
Mtalii anataka apate mambo mengi sana na huduma ya hali ya juu kulingana na pesa yake
Hatujali watalii sana kama wenzetu wanavyowajali
Huduma zetu ni tofauti sana ukilinganisha na South Africa
Matangazo tuko nyuma sana na mawakala wetu sio wengi kama wao
Biashara ni ushindani tungeiga wanavyofanya wao badala ya kujifungia ndani na kufanya kazi kwa mazoea tu
Ukija kwenye menu pia hotel zinachaji bei za kipuuzi chips kuku, mafuta yaliyokaangia samaki yatakaangiza kuku na hatujali...

Yaani tukiweza kubadilika na kutoa huduma ya hospitality ipasavyo, tutavutia watalii..

Mtu akifika hapokelewi vizuri, lakini muhudumu anataka tips kubwa..

Chukulia tu mfano ukienda bar yako ya karibu huduma zetu hovyo!

Kuna kitabu fulani comic Tom & Jane, yaani kile kitabu ni ukweli mtupu juu ya huduma zetu..

Wanakuja kina Abramovic, Will Smith hao his tungewetumia kutangaza utalii wetu, clip tu ya sekunde 10,

Everyday is Saturday.......................... :cool:
 
Back
Top Bottom