Wito kwa TAKUKURU Tanzania

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
530
500
Niwaombe Takukuru Tanzania!

Chunguzeni kikosi cha usalama barabarani kwa RUSHWA!!! Tutaisha! Taarifa za mbinu wanazotumia kikosi hiki kupokea rushwa.... nikwamba madereva wana weka pesa kwenye karatasi inakunjwa kama msokoto wa sigara! Akisimamishwa anadondosha hiyo karatasi.

Haya mambo yameshamili nchi nzima! Wanaoumia saivi kwakupigwa faini ni gari za za private na maroli! Fanyeni uchunguzi ni mabasi mangapi yanayopigwa fine saivi na miezi sita iliyopita! Nahuo ndo utakuwa uthibitisho wa hii threed yangu!.

rushwa barabarani saivi ni halali kupokelewa na askari hasa kwenye mabasi maana gari ndogo wanaziogopa kwakuwa madereva hawawajui.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom