baada ya Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo (MRK) kuanza kutumika

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,593
4,645
nimecheka sana nilipoisikiliza lafudhi ya huyu jamaa..., anaonekana mwenye furaha sana.
 
Attachments

  • VID-20200530-WA0016.mp4
    8.3 MB
Magu sifa nyiiingi uwezo hamna.
Angejenga ile ndio tungempa credit anakuja kutujengea sijui kitu gani angetoa hata notice kwa umma sasa
inasemekana kuna cabinet ya wahandisi walikaa na kushauriana juu ya ile ramani ya kwanza..., na ikagundulika kuwa eneo ni dogo sababu ukiwa nelson mandela rd, kushoto kuna mitambo ya umeme (tanesco) na kulia kuna mitambo ya gas (songas). kwa hyo wakaja na idea nyingine ya ramani ambayo alitakiwa kuja nayo mkandarasi.
 
Kwa hiyo kumbe Magufuli ni mkurupukaji na anakotupeleka siko?
Unaufahamu uzi wa Nani anayejua magufuli anatupeleka wapi?
.
Mtu aliyejinadi na kujipiga kifua kwenye Tv kuwa anajenga bonge la interchange na akatuonesha Rander ambayo inapita juu hadi lilipokuwa jengo la Tanesco anakuja kujenga ukoko huo anatutakia nini sisi
 
Yaani ule ugoro pale Ubungo mwanzoni walisema interchange halafu naona mwishowe makalvati tuuu. Sifa za hovyo.
 
Back
Top Bottom