Wasanii wa Tanzania wanaishi katika mfumo wa chama kimoja, vipaji vyaweza kudumaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,914
Naelewa kuwa Wasanii wengi wanalelewa na CCM kiufadhili na kifursa lakini hiyo siyo sababu ya wao kuishi ndani ya box.

Kwa sasa wasanii wote wako busy kutunga nyimbo za kuienzi CCM, hilo ni jambo jema lakini wasisahau kuwa nje ya siasa maisha ni lazima yaendelee.

Wasanii wote wanapokuwa na mrengo mmoja wa kufikiria taifa hutembea kama lina matege.

Sisi wahenga twawafikirisha tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuna waliojaribu kuhamia CHADEMA kilichowakumba ilibidi warudi chama tawala. Case study: Wema Sepetu
 
Umemsikiliza T.I.D?? Wasanii wa bongo Wana njaa Sana ndiyo maana wanajikomba kwa serikali ili wapate mlo. Wanatia kinyaa sana
 
Hivi watu wanaotia kinyaa kama kina shilole waje upinzani kutafuta nini? Wapeleke kinyaa chao huko huko CCM inayolea kizazi cha laana.

'Palipo na mzoga ndipo watakapo kusanyika tai'
 
Kule Marekani CIA kwa maslahi ya taifa lao wanaiendesha tasnia ya sanaa, muziki na habari. Ma-director wa muziki na filamu wanasoma shule za CIA ili wazalishe kazi zinazoendana na matakwa ya nchi. Huku kwetu mtu anaamuka tu ametoboa masikio na kuweka heleni, basi anakuwa msanii.
 
Wasanii wote wangekuwa wanaishabikia CDM ungekuwa unashangili kimende mende. Manina mende usiye na jinsia.
 
Wanatafuta fursa japo niliona changamoto kwa msanii wa kike alipo jiunga chadema alipata msukosuko na kurudi CCM hapo nadahani nitakuwa nimekutoa matongotongo
 
Kule Marekani CIA kwa maslahi ya taifa lao wanaiendesha tasnia ya sanaa, muziki na habari. Ma-director wa muziki na filamu wanasoma shule za CIA ili wazalishe kazi zinazoendana na matakwa ya nchi. Huku kwetu mtu anaamuka tu ametoboa masikio na kuweka heleni, basi anakuwa msanii.
Money talks, wewe umewaandaa?Unayo bakaa ya kutosha?Chuo chenyewe kimmoja na kidogo hadi Sweden akupe ngawila ya kukiendesha.
 
Akili anayodai aneitumia angeitumia kitafuta sehemu yake ya kuishi angekuwa mbali sana... bahati mbaya akili anaitumia kutumika..

By the way, hawajaanza leo... HATA ILE ULIPO TUPO ALIYOKUWA ANAITUMIA LOWASA NAYO WALISEMA ASA IF ILIKUWA IMESAJILIWA
 
Back
Top Bottom