tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi masikini sana

    Huenda uliposoma kichwa cha habari ukawa umejipanga kuja kunikosoa haraka kwamba nchi ina hifadhi nyingi za wanyama, mafuta, gesi, madini yaliyojaa tele nchini na hata kuwa na Tanzanite ambayo ipo hapa tu duniani kote, mlima kilimanjaro na vitu vingi ardhi hii iliyosheheni rasilimali. Umaskini...
  2. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wapiga kura wa mitandaoni

    Kukua kwa sekta ya mawasiliano hapa nchini tumeshuhudia mambo mengi pia yakibadilika. Katika nyanja ya siasa na sheria hapa nchini tumeshuhudia uanzishwaji na upitishaji wa Sheria inayoangazia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Leo hii mtu muoga ni nadra sana kuandika kitu cha kuponda...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Don Nalimison nimerudisha Kitambulisho Cha Taifa la Tanzania(NIDA) kuanzia sasa sina Kitambulisho cha Uraia wa Tanzania

    Nimekabidhi Masjala Jiji la Mwanza, na pia nimewarudishia PSSSF Kitambulisho Cha LAPF na Pesa zote wakitaka wale au wazigawane, Mimi hayanihusu.
  4. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

    Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa kwenzi la wastani la utosi, basi huyo mtoto mchokozi hulia na kukimbilia kusema kwa mama/baba. Hiyo...
  5. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: TRA Defeats Swedish Firm in 2.12b N/ - Tax Case

    Credit: Faustine Kapama Daily News THE Atlas Copco Tanzania Limited, which is part of Atlas Copco Group, a conglomerate of multinational companies headquartered in Sweden, has lost its bid to oppose payments of tax amounting to 2.12bn/- to the Tanzania Revenue Authority (TRA). This followed...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania Ugomvi na Chuki (BIFU) zinazoendelea kwenye Media zetu zina athari gani kwenye Tasnia ya Habari kwa Tanzania yetu?

    Kwa wadau wote wa Tasnia ya hapabari hapa nchini mnaweza mkalitazama hili na kulijadili kwa mapana huenda likawa na matokeo fulani hasi ama chanya kwenye sekta ya habari hapa nchini. Tumeona matukio mengi tu na niseme labda ni tabia inayochipuka kwa kasi kubwa kwenye sekta ya habari kwa hiki...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi chache duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti ya karantini, kwa nini inafanya hivyo, je, ni sawa na salama?
  9. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kenya na Tanzania

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kenya inakosea kuhusu Corona ya Tanzania

    Watanzania pia Ni binadamu wanaoogopa kufa. Isingewezekana mtu aache kujifungia (lockdown), kunawa mikono, kujisanitize, kuvaa barakoa na kukaa mbali Kama jirani zake, wafanyakazi wenzake, wanachezaji wenzake, wafanyabiashara wenzake, wanafunzi wenzake na ndugu na jamaa zake wangekuwa wanakufa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), muda umefika sasa

    Wakati klabu ya AS Roma inatoa salamu za pole kwa Watanzania kwa kutumia lugha ya Kiswahili, Wabongo wengi tulikuwa na hamu ya kujua ni Mtanzania gani mwenzetu alopewa hilo shavu uko Rome Italy. Ajabu wadukuaji wakatudukulia; Mkenya ndio amekamatia hiyo nafasi, mimi kama mimi nikaanza kuwaza...
  12. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

    Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania. Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba. Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
  13. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    UTANGULIZI: Kwa mara nyingine tena kumejitokeza “kamgogoro baridi” kati ya Kenya na Tanzania kanakofikirisha sana. Nimeona baadhi yetu tumekua wepesi kuilaumu serikali yetu kwa uharaka kutokana na kwa uamuzi "wa kibabe" wa kuifutia Kenya Airways kibali cha kuingia kwenye anga la Tanzania...
  14. Ntaghacha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

  15. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  16. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Tanzania na Kenya wafafanua suala la kuzuia Ndege Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Hamza Johari, amesema kuwa sababu iliyopelekea na wao kuzizuia Ndege za Kenya kutua nchini ni baada ya nchi hiyo kuzuia ndege za Tanzania kutua kwao na kuongeza kuwa hali ya namna hiyo ni...
  17. LangatKipro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania should be kicked out of EAC

    We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya kama mataifa huru ya kongole kwenu

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kenya na Tanzania ni mataifa mawili ambayo ni distinct sovereign states. Jambo la heri kabisa katika mstakabala wa kuishi kwa utengamano na kufahamiana. Kama taifa kila moja lina haki zote katika nchi yake. Kwa hakika ni ujinga uliopitiliza kwa...
  19. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini "Wakimwaga ugali tunamwaga mboga" "Magufuli baba lao"
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
Back
Top Bottom