Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,101
4,064
Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.

Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.

Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).

Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya MUNGU, Bible na Quran. Historia ya Yona katika Biblia ipo sambamba na ile katika Quran kuwa Yunus alikuwa katika hali isiyo ya kawaida (nusu kufa). Baadae Mungu alimuinua na kumrudisha kwa watu wake na akawa kiongozi mkubwa hadi kaacha historia inayosomwa na mamilioni ya watu.

Lisu aliondoka mwaka 2017 akiwa unconscious kama vile Yesu (Isa) au Yona (Yunus) siku tatu usiku na mchana, Lisu ni miaka mitatu kiangazi na masika.

Hawa watatu wote walizaniwa wamekufa na hawataonekana tena lakini miujiza ya Mungu wakapata kuishi tena. Baada ya magumu Mungu aliwapa ujasiri na aliwainua.

Wakati huu uliopo unampendelea Lisu na unampa mwanya wa kuonyesha uwezo wa Mungu. Mungu anajieleza kupitia Lissu na Lissu ni nguvu.

NB: Shetani alijaribu kujikweza kuwa yeye ndie mungu ila Mungu Muumba amejibu kupitia Lissu.

Ukitafakari ya Lisu haikupi ugumu kutambua yeye ndie mkombozi wa kweli kwa nyakati hizi kama vile nyakati zilivyowabeba Nyerere, Mandela, Mussa, Daudi n.k

Mengi yatasemwa juu ya Lisu ila Mungu atampa ushindi kama alivyompa dhidi ya watu wasiojulikana.

ALIMWOKOA KATIKA KIFO ILI AWEZE KUTAWALA NCHI KWA JINA LA MUNGU NA AKOMESHE UOVU ULIOTAMALAKI TANZANIA
 
Laiti watu wangejua ukweli huu uliofichika katika tukio la Lissu wangetambua kuwa Mungu anakwenda kuibadilisha Tz kupitia Lissu na watu hawataamini mpaka waone kama ilivyokuwa kwa Yesu.
 
Laiti watu wangejua ukweli huu uliofichika katika tukio la Lissu wangetambua kuwa Mungu anakwenda kuibadilisha Tz kupitia Lissu na watu hawataamini mpaka waone kama ilivyokuwa kwa Yesu.
Hakika Lisu ni chaguo la watu wote
 
Jiwe aliwahi kufananishwa na yesu bavicha mlikua hapa kila dakika na uzi mpya wa kumtukana muhusika
Yy kwanza ni kweli hafananii kabisaaaaa na Yesu na sio vitu vyote vinafanana mfano jiwe na Yesu kwa lipi mfano? Ila Lisu na Yona wanafanana kwa hali walizopitia
 
Hivi huwa manafurahishwa na nini watu, Mnawapa laana za bule tu hao Kwa kuwafananisha na visivyofananishwa
 
Kwa muda wa miaka mitatu toka anusurike jaribio la mauwaji nchi ilikuwa imepoa binadamu mmoja tu aliyejigeuza Mungu mtu alikuwa anaongea yeye nasisi wote tunafyata Sasa mbabe kapata mbabewe na Pele limempata Pele.

Lisu amevunja mwiko wa kuligeuza taifa Zima kondoo na wanyonge .

Yani Kuna mtu alikuwa akiongea yeye neno lake ndio sheria na wengine wote kimya.

Asante lisu kwa kuturudishia ujasiri wetu.
 
Nasikiliza htuba yake, huwezi kuamini kuwa huyu kapigwa risasi! Very articulate and composed!
 
Lissu ni hatari kwa kweli. Nakosa neno moja zuri la kumpa huyu mtu ila itoshe tu kusema huyu mtu si wa sayari hii.

Kwa hotuba yake fupi ya leo nina uhakika leo Lumumba hali ni mbaya sana tena sana. Nina uhakika yule wa ikulu ndo hatolala kabisa leo.

Huyu mtu si wa sayari hii. Nimeona watu wenye uwezo wa kiakili ila Lissu hapana uwezo wake si wa kawaida
 
Back
Top Bottom