Wizara ya Afya Tanzania yahimiza wananchi kuendelea na tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,281
Ee1fx6gWoAEJnGU.jpeg

Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuendeleza tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali ya shughuli ili kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu, kuhara damu na minyoo.

Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi.

Source: https://twitter.com/wizara_afyatz
 
Back
Top Bottom