Tanzania tunafeli wapi kwenye elimu

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
3,816
8,456
Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT,
Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu
Duuh!!
Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani, na nasikia eti huwa kuna Tuition kwa wanafunzi wa University! SHAME!!!!





Kenyan school girls’ Sh100 invention wins UN award

1596914723456.png


A bloodless malaria test by a young Ugandan inventor won Africa’s top engineering prize
1596914949251.png


Kenyan Maths and Physics teacher Peter Tabichi has won the Global Teacher Prize 2019
1596915084507.png



The biomedical smart jacket that diagnoses pneumonia using Bluetooth invented by Ugandan Biomedical Engineering students won awards



1596915286329.png
 
Back
Top Bottom