Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
The above matter refers.
I am writing here to invite all Master and PhD students who are pursuing various degree Programmes, and are struggling with their research proposal, writing their academic work (thesis or Dissertation).
I know that most of the Universities in Tanzania they teach...
Tanzania reaps big as global gold prices soar to 9-year highs
Dar es Salaam. The rising prices of gold on the international market good news for Tanzania - what with latest figures showing that the country’s foreign exchange earnings from the mineral rose by close to $1 billion in...
Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri.
Kiswahili
Hali ya barabara nchini Tanzania
"Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu.
Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
KWANINI TANZANIA INUNUE NDEGE?
Na Bwanku M Bwanku
Kuingia madarakani kwa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt John Pombe Magufuli kulifungua ukurasa mwingine mpya kwenye sekta ya usafiri wa anga baada ya nguvu kubwa ya Serikali kulifufua shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ambalo kwa miaka...
Mada inahusika.
Tukiwa katikati ya mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu, Tanzania iko katika mstari mwembamba sana wa kutunza historia yake ya utulivu, amani na umoja kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Baada ya uchaguzi wa 2015, yaliyotokea hapo katikati hadi 2020 kwa upande wa umoja wetu...
Nimesikia hotuba ya Gwajima akimtaja Bi Kidude kwa namna ya dharau na kutompa heshima yake.
Bibi huyu alikuwa na historia kubwa sana na mpaka sasa ipo, na hakuna anayeweza kuivunja,walau kwa sasa. Mpaka wasanii wa bongo fleva walikuwa wanapigana vikumbo kuomba kuimba naye,marais walimpa heshima...
Akizungumza na BBC kwa njia ya simu msemaji wa jeshi hilo, Luteni kanali Juma Sipe amesema kwamba habari hizo ni uvumi uliozagaa katika vyombo vya habari na kwamba hazina ukweli wowote.
Matamshi yake yanajiri kufuatia madai ya kundi la Islamic State kwamba liliwauwa wanajeshi 20 wa Tanzania...
Salaam wadau,
Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira yao.
Mfano kama hawa 3rd graders Marekani.
STEAM + Project-Based Learning: Real Solutions From...
Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
China 'kujenga' kambi za kijeshi Tanzania na Kenya
Jeshi la China
Getty ImagesCopyright: Getty Images
China inafikiria kujenga kambi za kijeshi katika nchi nne za Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya idara ya ulinzi ya Marekani.
Tanzania, Kenya, Ushelisheli na Angola zimetajwa kuwa miongoni mwa...
Hatari Wana JF,
Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
Leo 17:55hrs 06/09/2020
Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika, dunia ikapoteza mainjia wa daraja la juu, wasomi wa daraja la sita, Maguru wa elimu, Academician wenye...
5 September 2020
Tundu Lissu na Magufuli, Viongozi wa Jamii Marekani wajadili Amani, Haki, Upendo Na Ushirikiano
Kutoka Washington DC pamoja na Studio zetu za South Carolina, leo hii tumepata nafasi ya kuongea na Pastor: Absalom Nesuwa na Anna Ngoti, kutoka Kanisa la Umoja International Out...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Kenya’s persistent trade tiffs with neighbours may be a result of dynamics beyond the region, which could require political solutions.
Two of Kenya’s neighbours, Somalia and Tanzania, have recently stalled business ventures for Kenyans over alleged bad policy by Nairobi. Tanzania cancelled...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.