tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Parabora

    Kwa yanayoendelea huko nyumbani Tanzania, Nashawishika kuchuku uraia wa huku niliko kwa wazungu

    Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
  2. Papaa Mobimba

    COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  3. Sky Eclat

    Hii hali ya corona Tanzania tumejifunza

    Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea...
  4. Analogia Malenga

    Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW

    Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi. Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
  5. Mag3

    Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  6. Jamii Opportunities

    Expressions of Interest – Technical Leads for Tanzania

    About the role Education Development Trust is inviting expressions of interest from experienced technical experts to join the implementation team of an anticipated six-year programme, Shule Bora, to improve quality, inclusivity, and safety of learning for all 11.5 million children in government...
  7. Mzukulu

    Ukiona mpaka huyu Gwiji la Burudani nchini Tanzania analalamika hadi kutia Huruma hivi basi jua kwa wengine hali ni mbaya zaidi

    " Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine wameuza simu ili wajikimu kimaisha " Asha Baraka, Mkurugenzi Bendi ya Twanga Pepeta. Mateso yote haya...
  8. KingOligarchy

    Face Masks (Barakoa) ziwe lazima kwa watu wote

    Nchini singapore ni kosa mtu kutoka bila kuvaa barakoa/ mask ! endapo hili litakiukwa mtu atalipishwa faini ya $300 na akirudia atalipishwa $1,000 Czech republic na slovakia ni nchi nyingine ambazo zimepitisha sheria ya kila mtu lazima avae barakoa ili kupambana na ugomnjwa huu wa COVID19...
  9. CCM Music

    Katika awamu zote za Utawala hapa Tanzania, Utawala upi kwako ni bora. Wa kwanza, pili, tatu, nne...

    Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi: Wa kwanza: - Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga! Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi. Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake! Wa...
  10. chiembe

    Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  11. cadey

    Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

    Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya Tanzania na ni hatua gani zinatakiwa kufatwa ili kuweza kuuza bidhaa nje ya nchi. Kujiandaa kupeleka...
  12. Chagu wa Malunde

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  13. Maleven

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  14. Roving Journalist

    Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  15. Mukulu wa Bakulu

    Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

    Mimi niko kwenye mitandao ya kijamii kadhaa kkiwemo Twitter kwa muda mrefu kidogo. Hivyo kwa muda nilikua nikifurahia michango ya watanzania wenzangu ya kisomi kabisa Twitter na JF ila sasa Twitter imekua ya hovyo sijawahi kuona. Twitter ya sasa imevamiwa na makundi ya wavuta bangi wanajiita...
  16. I

    Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  17. President of China

    Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

    Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
  18. H

    Baada ya Covid-19 kuimiza sana Tanzania, pia itaumia sana Kiuchumi

    Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea; Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu. Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila...
  19. Mzukulu

    Kwa nje unaweza ukamdharau ila kama kuna Mwanasiasa ambaye ni Genius Tanzania huyu anastahili na namkubali

    " Sikusema ifungwe nchi nzima, unaweza ukafunga nchi kimkakati Unafunga mashule/vyuo ila unaaacha makanisa na misikiti ambako wazazi wakipata maambukizi wanawaletea watoto nyumbani Hizo ni akili gani? " Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema. Ni Mtu ambaye kila nikipata bahati ya Kumsikiliza...
  20. canular

    Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
Back
Top Bottom