Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.
Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa...
“Mamba ana nyama tamu sana, anzeni kula nyama yake badala ya kutegemea kitoweo cha samaki pekee” amesema Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu
Amesema kuwa licha ya nyama hiyo kuwa tamu, lakini kwanza mvunaji wa mamba aombe kibali kutoka kwa maofisa wanyamapori cha kuwavuna...
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.
Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?
Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache.
Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru...
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.
IQ which is a shortened...
Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15
Background
The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
Wasalaam,
Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
Sijajua nini kimeibuka nyuma ya pazia, ila Rwanda ambao hatuchangii mpaka nao wameipa Tanzania jirani wao kisogo na kufuata bidhaa za Kenya, jameni tuchangamkie hii fursa kiunyang'au, ni vyema sasa bandari ya Kisumu imeboreshwa .....baba lao Afrika Mashariki
====
Rwanda government has imposed...
Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi.
Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
Ndugu zangu wana JF,uhuru amani na haki viwe pamoja nanyi. Kwa kweli kila ikikaribia uchaguzi Mkuu wa nchi yetu ukiangalia mwenendo wa kijamii, kiuchumi na kisiasa wa nchi yetu huwa nakumbuka Nukuu ya Hayati Jomo Kenyatta alivyomwambia Mwl.Nyerere.
"Jomo kinyata alimwambia Nyerere mimi...
Kamanda Siro alisema tume inawasababishia na kuwapa wakati mgumu.
WaTanzania sasa tunaelekea kule ambako vyombo vya ulinzi huenda mwisho wake vikaungana na wananchi, jambo ambalo limeonekana nchi nyingi, haiwezekani utumie vyombo vya ulinzi kuteketeza wananchi, wananchi ambao ndio wanaounda...
TWAHA KIDUKU: MPIGANAJI BORA WA NDONDI KWA SASA TANZANIA.
Leo 21:30 hrs 29/08/2020
Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu,mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake ambayo itakukutanisha na jebu moja matata ya mkono wa kulia toka kwenye mwili uliojaa kwa mazoezi ya tofali na kusukuma...
1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali
2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc.
Mfano mdogo ni huu:
Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
Nilikuwa namsaidia mtu kutafuta ist au raum au run x iliyotumika nchini, bajeti ilikuwa 6.5 to 7m. Nikajisemea kwa bei hii atapata gari ambayo itakuwa imetumika mwaka au miaka miwili nchini na itakuwa nzuri tu.
Matokeo yalinishangaza kidogo. Ukitaka kununua Gari iliyotumika hata 5 years nchini...
Yaani kila wakati tu wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania na hasa zile ambazo huwa zinamuhusisha Mgombea Urais utawasikia Watu seheme mbalimbali wakisema kuwa CCM 'inakodisha' Watu na mara tena utasikia kuwa CCM 'inawahonga' Watu Pesa ili 'Kujaza' Mikutano yao kwa 'Kigezo' kwamba bila ya...
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri?
Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka mbali na ukumbi.
Shida iko wapi Kama mapambano yakifanyika muda huo?
1. Usalama mdogo kwa watazamaji...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
Wanabodi,
Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema.
Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali.
Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...
Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam.
Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.