Nahitaji Kampuni inayofanya CoPacking (kufunga bidhaa kwa kulipia) Tanzania

Black Panther X

JF-Expert Member
Sep 4, 2014
227
651
Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:

 
Tanzania hii biashara bado, ndiyo maana bado tuna shida sana ya vifungashio vya kisasa na ndiyo chagizo kuu la wafanyabiashara wadogo wa Bongo kushindwa kukua na kutoza soko la kimataifa.
 
Back
Top Bottom