tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Baba ilumba

    JamiiForums Tanzania Tanzania na wanasiasa wake vituko kweli

    Wasalaam wanajf ,nikitambo kidogo kimepita bila ya kuwemo humu basi natumai mu wazima wote. Leo nikiwa mjini bana kuna katukio kamenifurahisha na kuniacha mdomo wazi kwa kweli. Nimewakuta vijana wakiwa wanabishana wenyewe kuhusu hawa wanasiasa wetu wanaoonekana kila baada ya miaka5 . Aise...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikizithibitisha tu hizi 'Njama' nilizotaarifiwa kufanywa na Chama 'fulani' natangaza rasmi Kuachana 'Kukishabikia' na 'Siasa' za Tanzania

    Mpaka Saa Tatu (3) ya leo GENTAMYCINE nitakuwa nimeshapata 'Uthibitisho' wa 'Njama' za Kipumbavu (Kijuha) ambazo 'nimedokezwa' kuwa zinafanywa na Chama changu 'Shabiki' kabisa nchini Tanzania. Taarifa nilizozipata ni kwamba Chama changu 'Shabiki' hicho kupitia 'Watendaji' wake kinazunguka Usiku...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa Tuzo za Muziki Tanzania "Tanzania Music Awards"

    HISTORIA YA MWANZILISHI WA TUZO ZA "TANZANIA MUSIC AWARD" Historia ya shujaa SOMA HISTORIA YA SHUJAA HUYU WA BONGO FLEVA ALIYESAHAULIKA JAMES Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ siyo jina geni katika gemu la Bongo Fleva lakini ni wangapi wanamkumbuka na wanautambua mchango wake katika gemu la Bongo Fleva...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mgodi Petra washutumiwa kupiga watu risasi na kuua, kuendesha kituo cha utesaji mgodini na kuwafunga pingu wagonjwa hospitali ya Mwadui

    Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu katika Mgodi wa Petra Diamonds uliopo Shinyanga Kwa mujibu wa taarifa yake, shirika hilo limefanya...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Biashara kwenye TV Tanzania

    Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume. Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kikatiba: Rais wa Tanzania hashtakiwi, lakini hana kinga dhidi ya yafuatayo...

    Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Due to political situation since 2015 and the current situation, we should declare that Tanzania has Strong political Oppositions

    Mazingira yalikuwa Ni mtu au chama kimoja kufanya shughuli za kisiasa kwa Uhuru, huku vyama vingine vikikatazwa kufanya siasa Hadi uchaguzi mwingine utakapowaidia. Cha kushangaza bado CCM imepata changamoto Sana kwenye kufanya kampuni za kuwanadi wagombea wao na pia Wana wasiwasi ya kupoteza...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  9. Lusematic

    JamiiForums Tanzania Mipango miji Tanzania

    Habari wanajamvi? Nachukua fursa hii ili tuweze kujadili kwa pamoja hoja husika kuhusu wizara husika kwa upande wa mipango miji kwa nchi yetu ya Tanzania." kwanza niipongeze Wizara kwa kujitahidi kusimamia utendaji wao japo si kwa kiasi kikubwa. Kutokana na uzalendo na kupenda mandeleo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya hawa kuwa wanafiki dhidi ya Tanzania kwa muda mrefu, wameanza kusalimu amri

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa neema ya kuiona siku ya leo. Katika jitihada za kupambana na janga la Korona na hasa baada ya Mh. Magufuli kutuasa watanzania tumkimbilie Mungu na kutueleza tusiogope na tuweke tumaini kwa MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

    Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
  13. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kampuni inayofanya CoPacking (kufunga bidhaa kwa kulipia) Tanzania

    Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa kuelekea Bima ya Afya kwa wote chini ya Magufuli

    Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Research Guidance and and Supervision for Master and PhD Students in Tanzania

    The above matter refers. I am writing here to invite all Master and PhD students who are pursuing various degree Programmes, and are struggling with their research proposal, writing their academic work (thesis or Dissertation). I know that most of the Universities in Tanzania they teach...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yaanza kuleta manufaa Tanzania, yaupiku utalii

    Tanzania reaps big as global gold prices soar to 9-year highs Dar es Salaam. The rising prices of gold on the international market good news for Tanzania - what with latest figures showing that the country’s foreign exchange earnings from the mineral rose by close to $1 billion in...
  18. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  19. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
Back
Top Bottom