Uchaguzi 2020 Viongozi wa kijamii Marekani watupia jicho kampeni za Uchaguzi Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,194
5 September 2020

Tundu Lissu na Magufuli, Viongozi wa Jamii Marekani wajadili Amani, Haki, Upendo Na Ushirikiano



Kutoka Washington DC pamoja na Studio zetu za South Carolina, leo hii tumepata nafasi ya kuongea na Pastor: Absalom Nesuwa na Anna Ngoti, kutoka Kanisa la Umoja International Out Reach Church Dallas, TX Nchini Marekani

Viongozi wa Kiroho wanaongelea kuhusu haki, ushirikiano pamoja na upendo, kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020 Tanzania, pamoja na hapa Amerika.

CHANZO: Swahili Villa
 
Back
Top Bottom