Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu.

Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema;

" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."

Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake.

Na kumwambia hivi, kamwe siyo dhambi wala kumkosea heshima hata kidogo.

Tazama, sikiliza na kisha elewa👇

 
Ila Mungu fundi sana, hivi Magufuli, angepewa hata robo ya akili ya Lissu, na vile anapenda ajue kidhungu, na kutoa takwimu za kilomita za bara bara tungekoma.

Anachojua kwenye historia ya Tanzania ni Chato. Na maeneo mengingine yenye majina ya kiuasharati tu. Eneo la katerero na mto wake wa maji.

Kumuuliza historia ya Muungano Magufuli ni kumuonea bure.

Miaka 5 inatosha akapunzike, acheni kumsukumia huko.
 
Back
Top Bottom