tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna anayeisema CCM kwa wema, Tanzania nzima wanalalamika (95% wanailaumu CCM)

    Hakuna hakuna hakuna, mitaani kote nimefanya survey kubwa Tanzania nzima kwakweli kila kwenye watu mia basi watano ndio watasema CCM imefanya mazuri na yanahesabika. Ila wanaoiponda kwa ubaya wanayasema na hayana idadi ni malalamiko mengi sana. Kuanzia wajasiriamali mpaka waliomo serikalini...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhaba wa skills. Je, kuna tatizo katika Mfumo wa Elimu?

    Habari za wakati huu, Katika suala la ujenzi wa uchumi na maendeleo moja kati ya vitu muhimu sana katika labour force ni skills.Mfumo wa elimu unalenga kuwapatia watu skills and knowledge. Skills ni uwezo wa kufanya jambo kikamilifu na Knowledge ni uwezo wa kuelewa jambo kikamilifu. So...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hizi 'Siasa' za Tanzania 'ICC Chief Prosecutor' Bi. Fatou Bensouda apite sasa 'Kutusalimia' au aje rasmi 2025?

    Nimeona mahala kuwa huyu Mwanamama ambaye ni Mkuu wa Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu Kimataifa ( ICC ) anaenda zake nchini Sudan huko 'Kumalizana' na aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na aliyefanya 'Uhalifu' wa kila namna Omar Ali Bashir ambaye yuko 'Kizuizini' huko. Kwakuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na sera ya Tanzania ya viwanda

    Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi. Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya kutofika CORONA Tanzania hii hapa

    Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa. Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua...
  7. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa huundwa Mtandaoni, basi Mpaka sasa Tanzania ipo Mikononi mwa wanaCHADEMA

    Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika! CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania. Actually, Naweza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili nyumba wanazojengewa Marais Wastaafu Tanzania

    1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi? 2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi? 3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika? 4. Hawa viongozi...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hili ndio song kali kuliko masong yote Tanzania kwasasa

    Wakuu kiukweli tukubali tukatae hili ndio song Kali kuliko yote Tanzania kwasasa. Ukilitizama hili song unatamani uendelee kutazama tu.
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

    Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda. Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil. Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua. Wengine wakashuka...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Ports lead on having state of the art CARGO SCANNERS in East Africa

    Tanzania ina ongoza kwa kuwa na scanners za kisasa kwa ajili ya mizigo bandarini..Wakenya mpo....
  13. Kakati

    JamiiForums Tanzania Ili Tanzania kuwika kiuchumi Duniani, inategemea uongozi thabiti

    Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha. Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
  14. Ibrah

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  15. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ya Tanzania baada ya uchaguzi ipo mikononi mwa NEC

    Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika. Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au...
  17. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kijana kuajiriwa au kujiajiri Tanzania ni magumu sana

    Mazingira ya kuajiriwa ama kujiajiri Tanzania ni magumu sana. Kwanza, Serikali imehodhi shughuli karibu zote za kiuchumi, leo kandarasi zote za ujenzi wa ofisi za umma inapewa TBA, NHC, Ardhi University au taasisi nyingine za umma. Kwenye ufundi wa vyombo vya moto na elektroniki ni TEMESA...
  19. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Taifa ambalo lina amani ila limekosa haki

    Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa duniani kupitia Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuwa taifa lenye amani na haki kwa watu wote kwa...
  20. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
Back
Top Bottom