tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  2. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania kwa Jicho la Rohoni ni Uchaguzi wa Msimu dhidi ya Msimu

    Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa katika ulimwengu wa Kimwili, mchakato wake huwa unakuwa ulianzia Rohoni na baadaye kujidhihirisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

    Nawasalimu wanajamvi. Naomba kujuzwa anaefahamu kiwango cha salary scale hii TRCS 5 ni shilingi ngapi
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

    Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani
  6. Securelens

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

    Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom

    Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom Police monitor people celebrating an opposition candidate’s election win in Dar es Salaam. PHOTO | NMG Summary In a letter to President John Magufuli, the activists expressed concern about the decline of fundamental rights in the country...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi Tanzania msitake Kutusababishia 'Kilazima' kurudia tabia zetu za Kuwapiga 'Waaumuzi' Mpirani kwani inakeraEndel

    Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira'...
  11. Choco-late

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  12. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  13. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  16. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 As October 28, 2020 approaches let us not forget, Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your

    Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a spectator sport, it's a participatory event. If we don't participate in it, it ceases to be a...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

    Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu huku ikiwaomba waumini wao kumtanguliza Mungu na Serikali kusimamia amani na utulivu ili...
  18. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Imperialism And Patriotism: Their Relevance In The Current Tanzania’s General Elections

    The incumbent President of the United Republic of Tanzania, H. E. Dr. John Joseph Pombe Magufuli, has on a number of occasions expressed his scepticism on imperialism and concern over it’s camouflaged multifaceted manifestations in the country. For many people ‘imperialism’ (in Swahili...
  19. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania JPM the towering pillar of African renaissance

    On 28th, October 2020, Tanzanians will be deciding the destiny of their nation through ballot box, in the sixth general elections since the East African nation opted multiparty democracy in the early 1990s. However, this elections is not the same as the other last five elections since 1995...
  20. Zigi Rizla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Demoted back to LDC Status

    Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020. The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and...
Back
Top Bottom