tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania About First Lady In Tanzania

    Habari za wakati huu? Imekua kawaida sana hasa baada ya uchaguzi Mkuu na mpaka kufikia hatua ya kuapishwa kua raisi wa nchi, Wakati akiwa amekabidhiwa nchi punde Mda si mrefu hua wanamfata mkewe popote alipoajiliwa na kumuachisha shughuli aliokua anafanya (ajira yake) pengine kwa kuwaaga...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa manufaa ya Taifa na Usalama wao, Baraza la Maaskofu TEC na The Free Pentecostal Church of Tanzania, FPCT wahame Kurasini

    TEC na FPCT Ni vituo vya kidini ya kikristu vilivyoko eneo la Kurasini, Dar es Salaam. Kwasasa vituo hivi vimezunguukwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi wa bandari kuu ya Tanzania. Viko katikati ya matenki ya mafuta na makontena. Uwepo wa taasisi hizi katikati ya shughuli za kiuchumi...
  3. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

    Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari? Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
  4. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia: Chama chetu cha NCCR Mageuzi kinakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini

    Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala viongozi wa CCM hawawezi kutamka moja kwa moja kuishambulia Marekani kwa kuitaja kwa jina zaidi ya kuishia...
  6. Masiya

    JamiiForums Tanzania Masaibu ya Masters Degree by Research Tanzania

    Vyuo vyetu vimetangaza masomo ya umahiri kwa 2020/2021 na sifa zinazotakiwa ni hizo hapo chini. Njia moja ya kupata degree hizi ni by research na vigezo vyake nimeviwekea rangi. Utaona ya kuwa wenye vigezo ni wanafunzi wenye ufaulu mzuri wa kuanzia GPA ya 3.5 au wenye experience kubwa upande wa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera atoa ufafanuzi kuhusu suala la kutovaa barakoa alipokuwa katika ziara yake nchini Tanzania

    Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Maasai to English Transcribers at Savannas Forever Tanzania (SFTZ)

    Overview Savannas Forever Tanzania (SFTZ) based in Arusha, is a registered Tanzanian research and communication NGO launched in 2006. SFTZ uses research to measure the impacts of development projects and leverages that information to build learning networks that connect rural communities and...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan akamatwa kwa kuingia nchini kinyemela kwa kisingizio kuwa Tanzania hakuna Corona

    Idara ya uhamiaji mkoani Kagera inamshikilia mtu mmoja raia wa Pakstan aliyeingia nchini kinyume na taratibu akitokea nchini Uganda Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutangaza Tanzania ni salama na hakuna Corona. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Msikiti Wa Kwamndolwa Uliopo Jijini Tanga

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi Ya Mufti shughuli hiyo muhimu itanyika kesho Jumamosi Oktoba 10, 2020.
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

    NEC msijekusema hatukuwaambia
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Tanzania opposition leader says facing repression as elections near

    Tanzania opposition leader says facing repression as elections near By Reuters Staff 4 MIN READ NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and will do all in its power to stop the opposition, according to Tundu Lissu, a presidential hopeful...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman, Tundu, Salumu (FTS). Nani kaitengeneza hii "Three R" ya Tanzania?

    Wakuu miaka ya nyuma kidogo kunako Timu ya Taifa ya Brazil Almaarufu wapiga samba kulitengenezwa kilichokuja kuwa moja ya kombinesheni hatari, makini na kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa kabumbu a.k.a gozi a.k.a. soka ambapo kombinesheni hiyo ilikuja kujulikana kama Three R, au 3R au ara...
  14. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Is Kenya being sidelined in EA? Tanzanian appointed head of South Sudan Revenue Authority

    Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa inje. Hii imefanya Wakenya waulize mitandaoni "Why is the region hostile to us" , "Why do they hate...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Malawi wazidi kung'ara

    ✍🏽 TUKIWA tunaelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba, 2020, Leo Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli amempokea Mhe Rais Lazarus Chakwera wa Malawi pamoja na ujumbe wake aliyekuja Tanzania kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha mahusiano baina nchi hizi mbili hususan katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 28 Oktoba 2020: Ufahamu mfumo na Mzunguko wa Uchaguzi unaotumika Tanzania

    Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8 Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine yeyote ndiye hutangazwa kuwa mshindi (First – Past – the Post). Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 41(6)...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

    Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa. Maendeleo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye mapokezi ya Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera nchini Tanzania

  20. rr4

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music

    Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music Facebook Twitter Email The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more CHRISTOPHER A. DANIEL GRAMMYS OCT 6, 2020 - 1:36 PM When...
Back
Top Bottom