Siri ya kutofika CORONA Tanzania hii hapa

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.

Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua wala hatukutegemea na kuijua mipango ya Mwenyezi Mungu,leo ndio unaona kuwa tumeweza kukutana na kufanikiwa kuiondoa CCM madarakani,hili halina makando kando ni kitu kipo wazi kabisa.

Wape na wengine habari hii iliyofunuliwa kwako leo. Kura yako ni kwa Tundu Lissu, Mwenyezi Mungu ametuondolea marazi kwa ajili ya kuondoa ugonjwa huu uitwao CCM ni baraka tosha,kwa wenye ufahamu wa kina. Fikiria tu kama Covid 19 angechachamaa hapa Tanzania kungekuwepo na Uchaguzi? Jibu swali hilo, sasa kwanini nafasi uliyopewa usishiriki kuikataa CCM,shiriki na andika historia kuwa umeshiriki kuikataa CCM.
 
Kwani nchi zingine hawakuomba? Hii ni fursa na siri yake ni waTanzania kupata muda wa kuiondoa CCM madarakani ,tumia akili yako utaliona hili jambo lipo wazi kabisa, usishangae hukuelewa tokea mwanzo, ila CCM walizibwa macho na akili yao ikapewa shetani kuona Mwenyezi Mungu anawapenda sana,eti wameomba wamekubaliwa.
 
"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe 19/10/2020
 
Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu,embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania ,leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Kwanini Korea kaskazin hakufa MTU hata moja kwa corona?
Mbona Burundi wapo kwenye hali nzuri?

Jiulize kwanini risasi zenu 36 hazikufua dafu?
 
"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe 19/10/2020
Kwa hiyo baada ya vyama hivyo vikongwe kuondoka madarakani ndio nchi hizo zimepata maendeleo makubwa kuishinda Tanzania ambayo bado inaongozwa na CCM ambacho ni chama kikongwe? Hebu tutajie hizo nchi halafu tulingainishie maendeleo yake ya wkati huo na sasa kama yanazidi ya Tanzania!

Ndugu usikariri maisha hapa duniani utafeli kila siku. Hakuna mahali popote palipoandikwa kwamba upinzani ukiingia madarakani ndio kutakuwa na maendeleo. Mifano ni mingi sana katika nchi za kiafrika ambapo upinzani ulichukua madaraka lakini kinyume chake ndio uchumi wa nchi hizo ukazidi kudidimia zaidi!
 
Usiku nimeota kuna dubwana linawauliza mateka wake mmoja baada ya mwingine "we chama gani" waliosema wako CCM walikuwa wanang'olewa vichwa,jiwe na polepole walikuwa ni miongoni mwa mateka wa lile dubwana ila niliondoka kabla zamu yao ya kuulizwa haijafika.
 
Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu,embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania ,leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Unachotuambia hapa ni kwamba Mungu ana ubaguzi. Unakufuru bila kujijua. Yakikupata ya kukupata shauri yako.
 
Balimi, Burudani na Dabo kiki hazijawahi kumuacha mtu salama.
Ila kama ni ndoto sikulaumu.
 
Covid-19 haijafika Tanzania? Au unamaanisha Toyota corona?
Tumia akili yako kuona kina cha habari usikurupuke tu,siku hakuletwi malaika kukupa habari,Kama korona ingekuwepo na kushika kasi ,hivi uchaguzi nao ungekuwepo jamaa si ndio wangesema wcha tumalize miaka mitani migine korona itakuwa imemaliza,sijui mnatumia akili zenu au mnasubiri kuchangiwa hata kwa hili liliopo wazi halitaki darubini kuona ukweli
 
Watanzania bana - ugonjwa umeua rais mstaafu, waziri, wabunge na watumishi wa Mungu lakini mnajidanganya eti korona haikufika na haipo.

Kenya kwa mfano amekufa kiongozi gani maarufu kwa korona?
 
Back
Top Bottom