"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends.

Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signalling U.S. concerns in selected instances but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.

The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
 

Attachments

  • R46579.pdf
    1 MB · Views: 38
vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.
Nilichojifunza hapo Marekani wamegundua baadhi ya mbinu zao za vikwazo dhidi ya viongozi wetu hazifanyi kazi kama walivyotarajia.
Sababu viongozi wetu hawana maslahi binafsi au ya kifedha ndani ya Marekani.

Ingekuwa viongozi wetu wamewekeza huko Marekani, watoto wao wangekuwa wanakula maisha huko Marekani, viongozi wetu wangeuza tu nchi kwa jamaa.
 
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, wasiojielewa watakuja hapa waanze kusema hawajali sisi ni matajiri, sasa kama tungekuwa matajiri hiyo misaada tusingekuwa tunapewa, wacheni kujidanganya.

Hapa mwananchi wa kawaida ndie atakaeumia, hivyo vikwazo vya kuinyima nchi misaada vitasababisha kodi za bidhaa zipande ili wajaribu kufidia hilo gap la kupoteza misaada, na mpaka hapa "serikali ya wanyonge" itakuwa imeshafeli.

Kuna uwezekano mkubwa na marafiki zake wa jumuia ya ulaya nao watafuata, wacha kina Ndugai waendelee kushangilia wasilolijua kule bungeni, lakini kwa haya yajayo watapata akili tu.

Huko tunapoelekea watatuzuia hata kufanya nao biashara, sijui hizo dola za kuwekea akiba yetu ya fedha za kigeni zitatoka wapi.

Naona kila dalili tunaenda kuwa kama marafiki zetu wapendwa wa Zimbabwe.
 
Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.

IMG_20201114_031942_762.JPG
 
Nilichojifunza hapo Marekani wamegundua baadhi ya mbinu zao za vikwazo dhidi ya viongozi wetu hazifanyi kazi kama walivyitarajia.

Sababu viongozi wetu hawana maslahi binafsi au ya kifedha ndani ya Marekani.

Ingekuwa viongozi wetu wamewekeza huko Marekani, watoto wao wangekuwa wanakula maisha huko Marekani, viongozi wetu wangeuza tu nchi kwa jamaa.
Dunia ya leo hata kama hukanyagi Marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia

Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
 
Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.
 
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, wasiojielewa watakuja hapa waanze kusema hawajali sisi ni matajiri, sasa kama tungekuwa matajiri hiyo misaada tusingekuwa tunapewa, wacheni kujidanganya.

Hapa mwananchi wa kawaida ndie atakaeumia, hivyo vikwazo vya kuinyima nchi misaada vitasababisha kodi za bidhaa zipande ili wajaribu kufidia hilo gap la kupoteza misaada, na mpaka hapa "serikali ya wanyonge" itakuwa imeshafeli.

Bahati nzuri hapa tutaumia wote, wezi wa kura na walioibiwa kura, sasa wale "praise team" nao wajiandae mapema kisaikolojia, kama ameanza mmarekani.

Kuna uwezekano mkubwa na marafiki zake wa jumuia ya ulaya nao watafuata, wacha kina Ndugai waendelee kushangilia wasilolijua kule bungeni, kwa haya yajayo watapata akili tu.

The game has just started, it's pay back time.
Inaonekana honey moon ya ushindi inaelekea itaishia na huzuni!
 
I think it is high time mining and oil & gas investment, to be given a push
 
Nukuu zote hapa ni nukuu za upinzani, sijaona chochote ambacho serikali ya CCM imeulizwa ikataa kujibu. Unapata picha mwadishi ni nani na anakusudia gani.

Hata hivyo hakuna sheria inayolazimisha nchi moja isaidie nchi nyingine, kila nchi duniani inatoa misaada vile inavyona bajeti yake zimekaaje.
 
Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Mbona wachina wanaweza, mpaka kuna ma professor wa dawa mbadala. Kwani dawa za wazungu wanatumia nini kuzitengeneza kama sio miti shamba?
 
I think for the past five years this has been the talk. The worse is over. Investment will need the government to show and appreciate the contribution of the investors. Siasa hazina msaada kwenye hilo. China kusingekuwa na investment
Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
 
Back
Top Bottom