Hakuna kabila Malaya Tanzania

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,205
33,688
Merry Christmas
Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai".
Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao.
Sikubaliani nao kwa sababu kila mtoa lawama hulaumu kutokana na wanawake wa kabila fulani aliokutana nao.
Na Sasa kuanzia hapo ndipo napata hoja kuwa kumbe umalaya Ni Tabia ya mtu mmojammoja na sio kabila.

Mifano na uthibitisho wa kauli na lawama hizi Ni Kama ifuatavyo:-
Nimewahi kukutana na watu wengi wakisema

Mmoja alisema ,wanawake wa kihaya Ni Malaya Sana,hawafai.

Mwingine akasema,wamakonde Malaya Sana, na dhihaka Kama" ai kunyima mtu kitu unacho dhambi"

Mwingine,aah bwana wahehe Malaya Sana,dhihaka" we niangusage tu sambi sa kwako mwenyewe"

Mwingine,"usio Tanga bwana,wanawake wa Tanga bwana wahuni sana"

Mwingine, "loo wanawake wa kimachame bana,Malaya Sana."

Mwingine,"Da Wanawake wa kipare acha kabisa"dhihaka ,walisahau chupi mto Wami."

Mwingine,"Wanawake wa Kimbulu acha kabisa,hawajui kukataa Hawa"

Mwingine,"loo wanawake wa kisingida wanagawa Sana,Hawa Malaya Sana hawajui kukataa Hawa"

Mwingine,"Has,wanawake wa kisukuma,yaani unamvutia ndani tu,ukishamvuta,anakuambia mie sitaki wakati anavua nguo."

Mwingine,"loo usioe Mnyamwezi,Hawa kwa limbwata Ni balaa"

Mwingine,"Aisee wanawake wa Kinyakyusa acha kabisa yaani Ni unagusa tu umempata, maharage ya Mbeya maji Mara moja"

Mwingine,"wanawake wa Kimeru Ni shiida"

Mwingine,"usio Mzaramo Hawa wanagongwa kishezi kwa ngoma".

Jamani Watanzania wenzangu nimechoka kuorodhesha,nadhani wengi wenu mmekutana na maonyo na maneno ya namna hii.
Hakika nakuambia maneno na maonyo hayo Ni upotofu mkubwa.
Kwa ka utafiti kangu nimegundua kila mlalamikaji au muonyaji juu ya kabila analodhani Ni Malaya Ni yeye mwenyewe alikutana na "msichana au mwanamke"Malaya binafsi ndipo akahukumu kabila lote.
Nimekutana na watu wengi wanawake kwa wanaume kila mmoja akilaumu kabila tofauti hapo ndipo nikahitimisha kuwa Tanzania hakuana kabila lenye wanawake Malaya,Bali Kuna vijiwawake vichache vimalaya hivi ndio vimepelekea kulaumu makabila kwa ujumla.

Makabila yote ya Tanzania yana wanawake Bora kabisa kuoa au kuolewa,Tabia binafsi za mtu mmoja zisichafua wanawake zetu wazuri,Dada zetu wazuri,wapenzi wetu wazuri.

Kuna watu wameoa hayo makabila machache niliyotaja wanafurahia maisha.
Wanawake wa Tanzania,Ni wazuri Sana.
 
Hao watalii hujui wanapenda wakisikia kuna malaya?
Ha ha ha we jamaa.
Kwani umeambiwa watalii wote Ni wanaume.
Hata kwa hai wanaume,wanaopenda mademu,Tena Malaya Ni watalii mabaladhuri wachache Sana.
Watalii wema Ni wengi kuliko hai Malaya wa kiume.
Watalii wengi huja na familia zao
 
Nakubaliana na wewe kabisa Mkuu..jamii nzima haiwezi kuwa mbaya na mbovu...Baadhi ya watu ndo hua waaribu.
Ni kweli kabisa Mkuu.
Tena nilichokisema tu kuandika,ningeendela ningeandika Hadi visiwani,mtu atakuambia,AAA Wapemba,Hawa acha kabisa.
Sasa hapa utashangaa Ni kabila gani like salama?
Hapa ndipo nikaona kuwa hizi Ni Tabia binafsi za mtu na sio kabila.
 
Kama kuna malaya unayemjua wewe kafikia body count ya Cherokee D'ass mtaje hapa tumjue.
 
Back
Top Bottom