Kwanini Tanzania hakuna kumbi(theatre) za kuonyesha sanaa za maigizo jukwaani?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.

Au Bongo haiwezi kulipa?
 
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, madirector na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au bongo haiwezi kulipa?

Njoo wewe uanzishe, au unaweza kupeleka hiyo idea yako kwa matajiri na watakulipa kwa kuwapa huo mchongo.
 
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, madirector na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au bongo haiwezi kulipa?

Enzi zetu akina Mzee Kongo na timu yake, Mzee Jangala na timu yake na wakali wengine, theatres zilibamba sana. Jamaa walikuwa wanafanya mkoa kwa mkoa visits kutupa burudani.

Walipoanza kurekodi maigizo yako kwenye tapes na baadae CD's performance art ikaanza kupoteza biashara. Wahindi "promoters" wakawa wanafaidi KAZI za wasanii mayo performance art ikazidi kupotea. Nakumbuka tulikuwa na community centers za maana wakati ule ambazo zilikua zinalea local arts hasa waigizaji.

Hili wazo umeleta mkuu sio jipya na usemavyo ni Sawa. If you have this vision make it happen.

Best wishes
 
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.

Au Bongo haiwezi kulipa?
Muulize Mrisho Mpoto

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Enzi zetu akina Mzee Kongo na timu yake, Mzee Jangala na timu yake na wakali wengine, theatres zilibamba sana. Jamaa walikuwa wanafanya mkoa kwa mkoa visits kutupa burudani.

Walipoanza kurekodi maigizo yako kwenye tapes na baadae CD's performance art ikaanza kupoteza biashara. Wahindi "promoters" wakawa wanafaidi KAZI za wasanii mayo performance art ikazidi kupotea. Nakumbuka tulikuwa na community centers za maana wakati ule ambazo zilikua zinalea local arts hasa waigizaji.

Hili wazo umeleta mkuu sio jipya na usemavyo ni Sawa. If you have this vision make it happen.

Best wishes
Tumalizie kwanza Madarasa waliochaguliwa kidato Cha kwanza 2021 wapate pa kusomea.
 
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.

Au Bongo haiwezi kulipa?
Tymewaachia Diamond jubilee mfanye mambo yenu usitafute visingizio.

Pale diamond jubilee panahitaji decorations tu basi.
 
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.

Au Bongo haiwezi kulipa?
Huo ukumbi wa maigizo Upo pale Dodoma, wanauita sijui "Bunge la Jamhuri ya Muungano" .
Waigizaji wengi huvalia rangi ya migomba, afu anayependa kuigiza sterling ni jamaa flani hivi mweusi ana bichwa baya kama ramani ya mochwari
 
Back
Top Bottom