tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

    Habari za mihangaiko wakuu, Kwanini benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha?
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu Amekuja kutalii Kenya na akaamua kuja kutazama border kati ya Kenya na Tanzania

    Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuiona Tanzania aliyoiacha Mwalimu Julius Nyerere inarudi tena

    Kwa tuliobahatika kuushudia utawala wa mwl JKN ni wazi kabisa kuwa ni mashuhuda kuwa tuliishi maisha yasiyo na stress Kuanzia shule ya msingi mpaka Chuo Kikuu ilikuwa ni bure, huduma za afya bure. Kulikuwa hakuna matabaka maana hakuna cha mtoto wa kigogo au kibopa kusoma shule tofauti na...
  5. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Strict Internet and information Laws is a must for Tanzania security. My case in 800 words or less

    As President Bill Clinton mocked the Chinese president Jiang Zemin for his nation’s naivety in attempting to control the internet, the great firewall of China as it was pejoratively known, the crowd joined. At the time, in 2000s, this response was sensible considering how unknown the internet...
  6. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

    Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996 Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Upinzani, tuko sahihi au tumepotea? Tujadili

    Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya hili na mwaka 1992 tulianzisha mfumo huo ambapo mwaka 1995 tulifanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

    Wadau, Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali, Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo: 1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2 2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu. 3. Mapato na...
  10. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania

    Senior management officials of these Chinese companies have been detained in Tanzania since the first week of November. Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania | India News | Zee News New Delhi: Chinese involvement in money laundering has been growing...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  12. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Itabakia NSSF, Tanesco, CRDB, NMB labda na mwendo kasi, hata ubishi wa mpira utaisha Tanzania kwani bila ya Wahindi /Waarabu hakuna Simba, Yanga wala Azam. I mean, sisi watu weusi inabidi tuamke kwa kweli. Idi Amini alifukuza Wahindi baadaye wakaenda kuwapiga magoti warudi, kuna jamaa (mweusi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

    Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie COVID-19 kutajirika katika Kilimo

    Dunia itahitaji chakula, Afrika itahitaji chakula na Afrika Mashariki itahitaji chakula baada ya changamoto ya COVID 19 kuzorotesha maisha ya wakulima na wafanyakazi. Tanzania COVID-19 ipo pia lakini sio kubwa ya kusababisha taifa lijifungie. Kama ningekuwa miongoni mwa watoa maamuzi...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uwe maarufu au la, usijifanye una hela wakati huna! Utakuja umbuka msibani

    Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera! ***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mikusanyiko ya usiku kucha katika maeneo ya wazi Desemba 31

  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

    Mara kadhaa Wakenya wamekuwa wakionyesha chuki ya waziwazi dhidi ya Tanzania, hivi Tanzania iliwakoseeni nini? Hebu angalia hizi picha mbili chini uone kina MK254 na wenzake ambavyo wana kikorosho kwa mtima.
  18. goldcall

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Institute of Project Management yadaiwa kutoa kozi zisizosajiliwa

    Habari, Hawa jamaa, wanatoa kozi zisizo sajiliwa, kuna magumashi. Kuna jamaa, alisoma post graduate ya M&E, baadaye akaambiwa haitambuliki Ukizingatia umesha poteza muda na pesa, tuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni, pia Serikali ichunguze kwa umakini hivi vyuo uchwara, usije jutia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

    Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa. Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike...
  20. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa

    Tanzania yetu hii Mungu atusaidie tufanye kazi kwa pamoja tukishirikiana vizuri na vyombo vya mamlaka.
Back
Top Bottom