tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Magufuli ashuhudia utiaji saini mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya LZ Nickel. 'Multipurpose Smelter' kujengwa Kahama

    Tukio liko mubashara TBC na Upendo tv. Karibu. Up dates; ======= 10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa. Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nafikiri pastor Daniel Mgogo ndiyo best stand up comedian Tanzania

    Au nyie mnaonaje?
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tanzania inajipima mabavu dhidi ya Covid-19; yupi atakuwa wa kwanza kusalimu amri?

    (Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen) Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza kujikuta katika wakati mgumu kumudu gharama, na pia ikajikuta nyuma kabisa ya foleni ya dunia kupata...
  4. Mapank

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza "Ni nini kinafanya Kenya kukusanya mapato zaidi ya Tanzania?" Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa Budget wa nchi za Jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI. Katika ufuatiliaji huo nimekutana na maswali ambayo nimekuwa siyapatii majibu. Kwa kutumia nchi mbili KENYA na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  7. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 4 New Jobs At StarTimes Tanzania, January 2021- Shop Manager

    Job Title: Shop Manager - (4 Posts) Department: Operations Locations: Dar and Other Regions Reports To: Operations Manager/ Operations Director Job Purpose We are hiring Shop Managers to manage our Startimes Shops daily in office Operations, Sales Volume, Customer queries and Complaints. The...
  8. babu M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  9. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu usiovumilika na uliovuka Kiwango unapatikana katika Soka la Tanzania tu duniani kote

    Kaimu Kocha wa Simba SC Selemani Matola mara baada ya Michuano ya Mapinduzi Cup alipohojiwa na Press alisema kuwa amewapa Wachezaji likizo mpaka Ijumaa ya Wiki hii (22 January 2021) kisha watarejea Mazoezini upesi sana ili kujiandaa kikamilifu kabisa na Michezo Klabu Bingwa ambayo inaanza mapema...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa tumepata The Kadarshian Family Tanzania version

    Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania.
  13. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  14. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Wale amabo wana "Pride" na Weusi wao, Utanzania, Uafrika, Uswahili yani "Nationalist": tujuane hapa kwani nahisi nipo peke yangu Tanzania nzima

    Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi" Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!! Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"...
  15. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Wachaga ni moja ya kabila lenye dialects nyingi Tanzania

    Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana Kirombo Kimarangu Ki-uru Kikibosho Kimachame Kisanya Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga. Kimeru Kigweno Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Naanza kuiona Tanzania iliyobadilika. Watanzania hawasikilizi propaganda za uongo za Wapinzani

    Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema. Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu ufisadi. Nani asiyekumbuka kuwa Lyatonga Mrema alipata kiki baada ya kuibua ufisadi wa...
  17. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

    Salaam Watanzania! Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF. Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto. Kwenye hii kampeni tulitambulika...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

    Mzuqa wanaJF! Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni. This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level. Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika Chato yanafanyika kote Nchini Tanzania

    Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly) Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
Back
Top Bottom