tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

    Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Wang Yi, Tanzania sasa tujifunze

    China katika kipindi ilichokuwa inatakeleza mkakati wake wa maendeleo makubwa ( economic trajectory and critical mass investment in infrastructures) imekuwa inaendelea kuchukua tahadhari kubwa sana kujiepusha na migongano au migogoro na mataifa yale inayoyaona kwa njia moja au nyingine yanaweza...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

    Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria. Kwa sifa hizo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

    Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato. Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina bana, licha ya mapokezi yote hayo Tanzania, wanatoa kamsaada ka dola laki na nusu ($150,000)

    Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi. ========= Dar es Salaam. Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya...
  11. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s economy to grow fastest in Africa in 2021 - World Bank

    The World Bank predicts that Kenya’s economy will expand by 6.9% in 2021, the fastest growth rate in Africa, and a more ambitious prediction than the government’s estimate of 6.4% economic growth in 2021. Continued support from the international lender in terms of public health interventions and...
  12. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Kufanyika tarehe 30/1/2021

    Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke. Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kupangisha nyumba zenye samani ni chache Tanzania

    Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing machine, kettle, sufuria sahani na vyombo vya kulia. Sebuleni sofa na TV. Kwa sasa pango la nyumba hizi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Salaam Wakuu, Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100 ambayo ni takribani Tsh 230,000/=. Hii ni Pamoja na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania China yajitosa Ujenzi wa SGR ya Tanzania

    Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6; Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

    Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo. Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Habarini za Leo wapendwa. Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania. Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini...
  20. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines

    Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines - allAfrica.com Credit: Tanzania Daily News (Dar es Salaam) ELECTRICITY generated and distributed declined by 4.0 per cent to a cumulative output of 1,823,616.1 megawatts in the quarter ending September last year from 1,898,803.2 that was...
Back
Top Bottom