Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa amesema katika kipindi cha siku tano zilizopita, idadi ya magari 24,521 yamekamatwa kupitia oparesheni ya ukamataji wa magari yenye malimbikizo ya faini zinazotokana na makosa ya barabarani.
Akizungumza na wanahabari...
Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia.
Natanguliza shukrani zangu.
Kwa mujibu wa 'henley passport index' Passport ya Tanzania kati ya mataifa 219 imeshikilia nafasi ya 73.
Orodha hii inaangalia uhuru wa kusafiri. Ukiwa na passport ya Tanzania mpaka sasa unaweza kusafiri kwenye nchi 70 bila kuhitaji visa au kupata visa pindi tu utakapowasili kwenye nchi husika...
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI.
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241
Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa.
Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...
SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.
Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.
Njooni tuwape...
Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI)
Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata.
Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao.
Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga vibao Zulfa Said aliyefika kujifungua kituoni.
Tukio hilo, lilitokea tarehe 5 Januari 2021...
TAARIFA KWA UMMA
MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO:
CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa namna tofauti.
Wakati Marekani ikipiga Marufuku Maafisa walioshiriki kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu.
Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa tunakwenda kuleta mapinduzi ya mfumo wetu wa elimu nchini ,ila hadi sasa tunatekeleza sera ya elimu...
MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, amewaagiza walimu wakuu na wakuu wa shule kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi wawapo shuleni, ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina.
Agizo hilo alilitoa jana kwenye mkutano alioufanya Kijiji cha Malonje wilayani Sumbawanga kutokana...
Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania.
https://www.whitehouse.gov/briefing-room/presidential-actions/2021/01/20/proclamation-ending-discriminatory-bans-on-entry-to-the-united-states/
====
Januari 30, 2020 serikali ya Donald Trump ilitangaza kuwawekea...
Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, wasafiri wanaotokea Tz na DR moja kwa moja hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.
===
UK bans passengers from Tanzania, Democratic Republic of Congo to control spread of COVID variant
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from...
Habari ya asubuhi wandugu
Naomba mwenye hiyo syllabus ya pre & primary syllabus in Tanzania pamoja na teaching and learning materials kwenye soft copy anisaidie
Asanteni
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.
Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike.
Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria.
Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini...
EDIT: THE ORIGINAL TITLE WAS, Private Candidate Primary School Tanzania. The thread title was stealthily edited. Shame on the mod who cannot formulate his/her own ideas and stand by them. If you edit, show that this article was edited, by who. Putting your own words under somebody's else name is...
Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader.
Wazanzibari hawana interest nyingine zaidi ya nchi yao, yote wanayofanya leo yakiwemo maridhiano ni kwa maslahi...
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.