tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  2. JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
  3. JamiiForums Tanzania WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la corona. Tedros amesema kwenye taarifa yake kwamba hali hiyo inatia wasiwasi na ameitolea mwito...
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  7. JamiiForums Tanzania 3 New Jobs At Save The Children Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Digital Education Project Officer- (1 Post) 2. Digital Education Project Coordinator- (1 Post) 3. Director Of Programme Operations- (1 Post) Deadline for applications: 02 March 2021
  8. JamiiForums Tanzania 14 New Jobs At International Organisation For Migration (IOM) Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Click on each below to read more and apply/ Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuaply: 1. National Medical Officer- (6 Posts) 2. Medical Escorts (Doctors And Nurses)- 8 Posts APPLICATION INSTRUCTIONS 1. Interested candidates should fill in the PH form, Download...
  9. JamiiForums Tanzania Sources of law in Tanzania

    SOURCES OF LAW IN TANZANIA 1. Statutes A statute may be defined as an express and formal laying-down of a rule or rules of conduct to be observed in the future by persons to whom the statute is expressly, or by implication, made applicable. (a) Primary or principal legislation These are the...
  10. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yapandisha nauli zake

    Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
  11. JamiiForums Tanzania Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ugonjwa wa changamoto ya kupumua (UCHAYAKU- 2021) ulioibuka Tanzania unasababishwa na nini, una tiba au chanjo, na kinga na dalili zake ni zipi?

    Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.' Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili. Kama...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa kutohoa neno TANZIA kutoka kwenye TANZANIA?

    Wataalam! Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana! Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo? Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je, idadi ya siku za maombolezo kwa viongozi wa kitaifa zimeainishwa kisheria?

    Salam za rambirambi kwa Mpigania Demokrasia na mwasisi wa upinzani Zanzibar Ndg Maalim Seif. Rais wa JMT ametangaza Maombolezo siku tatu na kwamba bendera itapepea nuzu mlingoti. Rais wa Zanzibar ametangaza siku Saba za Maombolezo na bendera nusu mlingoti. Je, siku za Maombolezo zipo kikatiba...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nawahusia viongozi wajao wa Tanzania mambo haya kwa ustawi wa Taifa

    Usije ukajisahau ulipotoka na kukumbuka pasipo kikao cha watu na mashauri ya wazee wewe usingekuwa hapo ulipo. Hivyo uwaheshimu na kuwalinda hata kama kunawalio kupinga huwo ndio muda kuonyesha they was wrong kwa kuwapenda na kuwajali na sio kuwalipiza kisasi hilo ni hatari kwa usalama wa nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli na taratibu za kwenda Kenya kutoka Tanzania

    Habari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu. Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe. Watoto wana miaka mi...
  17. E

    JamiiForums Tanzania AFCON Under20: Ngorongoro Heroes yaanza vibaya michuano kwa kukubali kichapo 4-0 Ghana. Mechi ijayo kuivaa Gambia

    Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar. === BAADA ya Timu ya Taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ya Tanzania, kuanza hovyo mechi ya kwanza dhidi ya Ghana katika michuano ya Afcon 2021 inayoendelea nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

    Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!. Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

    Hii ndio Tweet yao: "This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel." ===== "
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…