SEASON 5
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 481
- 1,000
Habari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu.
Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe.
Watoto wana miaka mi 4, naenda tu kwa ziara fupi ya wiki mbili kisha nitarudi siendi kwa makazi ya moja kwa moja.
Nakaribisha mawazo yenu na ushauri.